Uchaguzi 2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

Sina tatizo na 'Ratiba' ila Kinachonishangaza na Kilichonishangaza ni kuona Mgombea wa CCM anatoa 'Deiwaka' ya 'Kunadiwa' na Makada wengine.
 
===================

Hivi Magufuli alishaenda Mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro?
Uzuri ni kwamba Magufuli anakuwa live kwenye TV zote kwaiyo watu wa Kilimanjaro, Mtwara, Kundi, Manyara na Ruvuma nadhani, waingie YouTube kumsikiliza huko.
 
Wakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wa Susie kujiandikisha mbaka ipatikane katiba mpya, chakushangaza baada ya uchaguzi Chadema wata lalamika wameibiwa kura.
Haohao waliojiandikisha ndio wataipigia chadema, nao ni watumishi wauma, wafanyabiashara nk
 
Haendi Kaskazini mkuu. Taarifa zinasema kuwa anafuata ripoti ya watu wa kipenyo na haendi Kaskazini yote kasoro Tanga wala haendi kusini yote.

Yani akitoka Tanga anaingia Dodoma ndani ndani huko hadi kwenye kufunga kampeni
Kaskazini atakwenda.subiri umskie Polepole baadaye sa 8 atakuwa na Press
 
Tanga Rukwa Katavi
 
Mgombea wangu lipumba anafungia wapi yeye?
 
Kura za nani,lisu hawez kushinda ki vyovyote maana ubavu huo hana

Kwa Afrika kushinda kura na kutangazwa ni mambo mawili tofauti. Sina shaka na ushindi wa Lisu kwa upande wa kura. Labda mjadala uwe kwenye kutangazwa.
 
Wakati serikali ina hamasisha watu wajitokeze kwenda kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wa Susie kujiandikisha mbaka ipatikane katiba mpya, chakushangaza baada ya uchaguzi Chadema wata lalamika wameibiwa kura.
Hayo maneno hata kwenye kanga yapo.lisu sio lowasa.hazungushi mikono,anamwaga maji
 
Mgombea wetu kasema atakuwa wa kwanza kusaini matokeo ikiwa atashindwa kihalali. Wenu je

Wao wamesema hata wananchi wakipigia vyama vingine wao wataunda serikali sasa sijaelewa kwanini wanazunguka kufanya kampeni hadi wanapiga magoti wanaosha vyombo, wakati plan B tayari wanayo kuwa wakikataliwa na wananchi wao wataunda seikali nadhani kibabe
 
Unalalamika tume haipo huru na umeingia kwenye uchaguzi kwa miguu yote huo ni uzwazwa.

Sasa hivi kuna ugonjwa wa ukimwi, kwani watu wote wanavaa kondomu? Hilo la tume kutokuwa huru wala halina mjadala, na uzoefu unaonyesha bila machafuko ni ngumu kupata tume huru ya uchaguzi. Kwahiyo ulitaka watu wasusie ili mjitangaze kushinda kwa ulaini? Ombeni tu ukondoo uendelee, lakini ukondoo ukiisha mtacheka kichina.
 
Akae hukohuko anatukera tuleteeni Lissu huyo Msukuma asikanyage huku anatisha raia hatumtaki hana mvuto wowote, sura mbaya, kauli mbaya, lughà mbaya na mtu mbaya sidhani hata Mungu anampenda kama anavyodai mwenyewe maana ni mwongo wa kupindukia.

Ndio vizuri aje kuvuruga kampeni watu wake washindwe. Taabu ni nini, or the reverse is true.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…