Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Ila we ni mnafki sana, thread yako hii kipindi hiko.
Aiseee !!!
 
Peaa yote ya tanesco itaishia kwenye posho za vikao.. hao jamaa ni matapeli wa kutupwa.
Don’t conlude kwa kuwaita wote ni matapeli mtoe abubakar Bakhresa pls hizo posho haziwezi kumsaidia chochote huyo ni tajiri Hana njaa hata kidogo, Busara zake zimefanya awekwe hapo
 
Ndio maana ulianzishwa wimbo wa kuuza hisa 20% ipo kwenye DSE hawa watatu ni wauminj wa ahyo mambo Mchechu, Mafuru na Nanyaro hii ni close circle ya January ni wasomi wazuri lakini utawala wa JPM mchechu na mafuru waliondolewa Nanyaro alijipunguza mwenyewe toka EPZA.

Hatutapenda kusikia kampuni imetoka Toronto, marekani inapewa tender ya kuuza umeme yaleyale ya IPTL yatarudi.

Tuko watu milioni karibu 62 kweli majina yanarudi yale yale kwenye nafasi hivi ni nani aliyeturoga. Ifike wakati watawala waone aibu ku recycle watu walewale umaskini hauwezi kuisha kwa style hii. Ndio maana JPM watu walimpenda kwa ku break the circle na kuchukua watu wapya kabisa. Kuna mtu hapo kila real estate investment unasikia anamiliki huko high end neighbourhoods bado tena anateuliwa kuwa mjumbe wa bodi wengine washakua mabalozi washapiga hela ndefu kwenye law firm zao bado tu mnawarudisha. Hivi ni vioja.
Mchechu ule mradi wa nyumba za Oasis club alimpa Mwamvita Makamba nyumba mbili na Kaka yake January alipewa bado ambazo hatuvijui ukiacha partnership yake na Jk Magoroto

Unaategemea January hataacha kuludisha shukrani?
 
Hakika ....

Mchechu na Mafuru ni vijana wazalendo wenye weledi mno....

MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI
Mchechu huyu alie ingia NHC akawa billionea. Anafedha chafu huyo. Si mtu wa kumwamini. Kila afanyacho kwake ni deal za upigaji.
Heri Mafuru. Huyu anajituma si mpigaji kihivyo.
Lakini hivi hii nchi haina watu wengine, ni wale wale miaka yote?
Natamani jeshi lirudi enzi za kina Mwita Kyaro!!!
 
Na akajitahidi kumuondoa Mkapa,Kikwete ni mtu mbaya sana kwa taifa hili
Nakubaliana na wewe kwa sasa JK sio tu mtu kumtukuza kwenye taifa kwa maslahi mapana; however let’s not make it personal.

Usitoshe kumbuka huyo mtu kwa sasa kashika mpini wa kisu.

Pamoja na ubabe wake JK hana sifa ya kutoa future direction ya hii nchi na ndio chanzo cha kuharibu uongozi wa mama.

Inawezekana kabisa mama anafaa baada ya 2025. But she has to prove her worthiness as a president; she has inherited that position and not earned it by merit.

Given the circumstances mama alitakiwa kuwa transitional leader tu ‘kutokana na kudra za mwenyez mungu’ lakini nafasi yake aina ulinzi wa taratibu za CCM.

Hili ni swala jipya ambalo JK keshaliwekea ulinzi come 2025; hizi ndio tamaa ambazo lazima zipingwe.

Kibaya zaidi kuna culture kandamizi ambazo zimeanza kurudi serikalini. Mambo ambayo raia walikuwa wakiyaona chini ya JK.

Hata humu JF jukwaa la siasa kipindi cha Magufuli ilikuwa atuambiani wewe maskini; sasa hivi hayo mambo yataanza.

Binafsi sina shida na uraisi wa mama provided atuonyeshe anastahili hiyo nafasi kwa uwezo wake, ila hili la JK kujitwika nafasi ya puppet mamster; kukubali huo upuuzi yaani mtu mmoja kutufanya watu millioni 60 ni wajinga wake. Dah
 
Una uhakika kwa hayo uandikayo, au ni his tuu?
 
Don’t conlude kwa kuwaita wote ni matapeli mtoe abubakar Bakhresa pls hizo posho haziwezi kumsaidia chochote huyo ni tajiri Hana njaa hata kidogo, Busara zake zimefanya awekwe hapo
Btw shukurani serikali ya Zanzibar kwa kupunguza bei ya petroli kupunguzia wananchi maumivu ya ugumu wa maisha, lakini huko Bara' wache maumivu ya tozo' yaendelee......'
 
Inanishangaza Sana watu kumlaumu kikwete ya kwamba ana influence na uongozi wa mama. Kiongozi wetu ni mama Samia, akitupeleka sivyo tumkosoe yeye kwa kutuharibia nchi, Kama mama anafuata ushauri wa kikwete haituhusu ila nchi ikienda hovyo tunamhukumu yeye. Sasa kulialia kikwete kikwete sidhani kama tuko sahihi
 
Mchechu, Mafuru, Mramba, n.k msoga line.

Huu si uteuzi wa jamaa. Kile kiwanda cha kuzalisha nguzo za zege ni cha...?

Fungeni mikanda,ndo tumeanza kuingia kwenye turbulences, mpaka Dec 26, tutakuwa tumeshazoea.
Sema wewe....... Unajua hawa viongozi wetu ni wezi sana halafu wanafikiri wananchi hawajui....
Wezi wanarudi wote..nani asiyejua wizi wa Mafuru NBC ....nani asiyejua wizi wa Mchechu NHC....its a shame...wanakusanyana tena wafanye tukio...
Alafu watu wanahubiri uzalendo feki...this is nonsense..
Anyway wacha huyu mama aimalizie tu nchi hakuna namna...
 
Lipe muda

Issue sio mimi

JK ni megalomaniac and a narcissist ndio mtu anaeharibu nchi.

But then I have also come to ask myself, hata sijui niliingizwa vipi kwenye siasa na mambo ya Tanzania over 10 years ago.

Wakati hizo juu ndio zilikuwa nyimbo zangu.

Najiuliza sana how did I get my self into third world politics.

Anayekusoma Kwa mara ya Kwanza anaweza kudanganyika. Inashangaza leo unatumia maneno kama megalomaniac, narcissist na mtu mmoja kufanya watu milioni 60 wajinga.
 
Mchechu ule mradi wa nyumba za Oasis club alimpa Mwamvita Makamba nyumba mbili na Kaka yake January alipewa bado ambazo hatuvijui ukiacha partnership yake na Jk Magoroto

Unaategemea January hataacha kuludisha shukrani?
Kwa akili zao wanahisi hatujui....
Kuna kitu kibaya wanataka kufanya...mpaka wamemtoa mwanasheria mkuu....muda ni mwalimu mzuri...
 
Ndio maana ulianzishwa wimbo wa kuuza hisa 20% ipo kwenye DSE hawa watatu ni wauminj wa ahyo mambo Mchechu, Mafuru na Nanyaro hii ni close circle ya January ni wasomi wazuri lakini utawala wa JPM mchechu na mafuru waliondolewa Nanyaro alijipunguza mwenyewe toka EPZA.

Hatutapenda kusikia kampuni imetoka Toronto, marekani inapewa tender ya kuuza umeme yaleyale ya IPTL yatarudi.

Tuko watu milioni karibu 62 kweli majina yanarudi yale yale kwenye nafasi hivi ni nani aliyeturoga. Ifike wakati watawala waone aibu ku recycle watu walewale umaskini hauwezi kuisha kwa style hii. Ndio maana JPM watu walimpenda kwa ku break the circle na kuchukua watu wapya kabisa. Kuna mtu hapo kila real estate investment unasikia anamiliki huko high end neighbourhoods bado tena anateuliwa kuwa mjumbe wa bodi wengine washakua mabalozi washapiga hela ndefu kwenye law firm zao bado tu mnawarudisha. Hivi n
Ujio wa Magufuli na Samia umenifunza nothing is guaranteed. Wakitaka kuiba waibe lakini wawe tayari na consequences zake.
 
Nadhani ifike mahali Watanzania tuache roho mbaya na husda, Hawa watu wana business acumen na rekodi zao kwenye kumanage mashirika hazitii shaka. Km tunataka TANESCO iwe successful mnataka nani ateuliwe?
Sielewi sijui tumelogwa mtu akiwa kiongozi tunataka awe hana mali au chochote akimiliki mali basi mwizi mchechu kafanya kazi ngapi kawa kwenye bodi ngapi mpaka awe maskini?
Na mtu akiwa maskini tunasema nakumbuka nikiwa mwaka wa pili Chuo nilifanya field Ifakara tukapita pahala tukakuta mzee mmoja anapasia kuni kwa shoka, nikaambiwa unamuona yule alikua OCD, sijui pesa yake kafanyia nini.
Ifike pahala tuchukue watu weledi watuongozee mashirika yetu ufanisi upatikane.
RAI: Unapoteua watu km hawa tunategemea shirika liendeeshwe kibiashara sio tunaatumia milioni mia saba kupeleka umeme pahala ambapo kuna wateja sita ili tupate mtaji wa kisiasa bila kuangalia km hiyo investment ni nzuri kwa shirika au la though hii kwa sasa REA itakuwa imepunguza.
Tuwaache wafanye kazi tuache majungu na myopic thinking ili taifa lisone mbele.
Umeandika ushuzi
 
Back
Top Bottom