NEMC mko wapi wakati Mwamposa anatupigia kelele usiku kucha?

Acha uongo zaidi ya kuita waumini haizidi dakika 2 Pana mawaidha gani achilia siku ya ijumaa au maulidi ndio wanatumiaa speaker za nje.
Pale Dodoma mji mwema,ikifika saa 11 hulali maana misikiti kama yote,halafu wanashindana kusali kwenye maspika.Hadi saa 12 na dk kadhaa ndio panatulia.Inaudhi sana ni vile hamjui tu
 
View attachment 2681679

Usiku wa kiamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake.

Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe, Mbezi na Mikocheni.

Tahadhari unapochangia kumbuka mimi ni Mkristu but I am fed up with this hooliganism and indoctrination.
Ukiona Mtu yoyote anachukiwa sana na GENTAMIYCINE hapa Jamiiforums jua yafuatayo.....

1. Hana Akili ( Mpumbavu )
2. Muongo na Tapeli
3. Mchawi
4. Muuaji
5. Mwizi na Fisadi
6. Mwendawazimu
7. Wakala Mkuu wa Shetani Lucifer

Uwe na Siku Njema pia Mkuu wangu.
 
Aposto kuna miujiza huku.. Hahaa.
Popoma sema ayayaa.
 
Pale Dodoma mji mwema,ikifika saa 11 hulali maana misikiti kama yote,halafu wanashindana kusali kwenye maspika.Hadi saa 12 na dk kadhaa ndio panatulia.Inaudhi sana ni vile hamjui tu
Ukiona kero unahama
 
Ukiona Mtu yoyote anachukiwa sana na GENTAMIYCINE hapa Jamiiforums jua yafuatayo.....

1. Hana Akili ( Mpumbavu )
2. Muongo na Tapeli
3. Mchawi
4. Muuaji
5. Mwizi na Fisadi
6. Mwendawazimu
7. Wakala Mkuu wa Shetani Lucifer

Uwe na Siku Njema pia Mkuu wangu.
Shetani Lucifer ndio Aina gani tena ya shetani??au Yule wa zamani kaapdetishwa ili aendelee kututesa na kututia majaribuni!!
 
Hivi yale ni madhehebu gani ya kiislamu shehe anahubiri kama analia niliwasikia kwenye limsikiti fulani la wahindi kule katikati ya jiji jamhuri
Sasa wewe unakaa huko Jamhuri?
Wanaokaa karibu ndo wanapaswa kulalamika...
Mtu anakaa kawe analalamika Kanisa kawe...wewe unasema uliwahi ona msikiti Jamhuri?wewe unaishi Jamhuri??..au ukipita Tu sehemu ukakuta msikiti basi Una haki ya kulalamika???

Sheria za nyumba za Ibada zinaanzia kwenye Nani kamfata mwenzake ...na Kwa umbali gani.....na vyombo vya kupaza sauti volume gani...sio mambo ya kupita Tu na kuona kitu ulalamike
 
View attachment 2681679

Usiku wa kiamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake.

Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe, Mbezi na Mikocheni.

Tahadhari unapochangia kumbuka mimi ni Mkristu but I am fed up with this hooliganism and indoctrination.

Anapaswa Kiongozi kama Chalamila ndo alizungumze...isionekane Samia anawakandamiza wasio waislam....
Ili kupata muafaka...
 
View attachment 2681679

Usiku wa kiamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake.

Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe, Mbezi na Mikocheni.

Tahadhari unapochangia kumbuka mimi ni Mkristu but I am fed up with this hooliganism and indoctrination.
Pole sana Mbumbumbu wa karne ambaye hujui lolote juu ya Imani. Kumbuka kanisa ni zaidi ya upeo wako wa kufikiri
 
Kelele za Mwamposa ni kubwa sana, mpaka sasa hivi bado anaunguruma. Niko Mikocheni. Halafu Watanzania hawakomi, ngoja yawapate kama ya Mackenzie wa Shakahola Kenya
Mbona Watu wanakufa maka huko na hawaachi kwenda. Kumbuka imani ni zaidi ya akili yako
 
View attachment 2681679

Usiku wa kiamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake.

Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe, Mbezi na Mikocheni.

Tahadhari unapochangia kumbuka mimi ni Mkristu but I am fed up with this hooliganism and indoctrination.
Pole sana Mbumbumbu wa karne hii na ambaye huwezi thibitisha juu ya mambo ya Imani na unaanza kutunga stori zako. Hivi huwa Uoni zile Imani zingine zinafunga kabisa barabara na kuweka matent barabarani mpaka Wiki njoo hapo Ilala,Magomeni Tandika mbona hujawahi jadili jambo hilo au Huyu Mchungaji amekukera kwa Watu kufurika kwake .

Mtu mwenye wafuasi wengi vile wenye elimu na nguvu za kiuchumi tena wengine wenye Mamlaka makubwa ndani na nje ya hii nchi wanakwenda kumsikiliza yeye jua wazi pale kuna jambo si kawaida ukipata fursa nenda kachunguze vizuri ili usiropoke na kuonekana huna akili.

Ebu fikiri kampuni ya Abood bus service inapeleka magari 10+ yanapark pale kutokea huko mikoani inasubiria abiria iliowaleta kutokea mikoani ,Hotel za maeneo ya Kawe,Mbezi,Tegeta,Kunduchi zimejaa waamini wake ili wahudhurie ibada,Tax,Boda,Bajaji,Daladala wanapata fursa ya kupata abiria,Television karibu tano zinapata Matangazo yake,Wafanyabiashara ndogondogo wanapata wateja,Watu walioajiriwa kwake ni wengi.Yaani wewe Mbumbumbu badala ya kuona utajiri na neema ya fursa anazoleta huyo Mchungaji wewe unaona kero tu.Roho ya kimaskini inakutafuna sana.Huu muda nilitegemea kuwa unazo Bajaji pale zinapiga hela,Unacho kigest pale Watu wanalala ,Unao mgahawa pale Watu wanakula, Eti umekuja hapa inalalamika Uzio ambao unajengeka Fasta tu wakati huo serikali imeshakusanya kodi kwenye Hotel,vyombo vya usafiri, na imesaidiwa kupunguza tatizo la ajira. Amka toka shimoni.

Ukiona Mtu anawafuasi wengi Mtazame kwa jicho la tatu Mtu wa kawaida hawezi kuwa na Ushawishi vile.
 
View attachment 2681679

Usiku wa kiamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake.

Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe, Mbezi na Mikocheni.

Tahadhari unapochangia kumbuka mimi ni Mkristu but I am fed up with this hooliganism and indoctrination.
tanzania ni nchi yenye maamuzi ya mihemko zaidi na sio ya kuzingatia sheria zilizopo mpaka jambo liharibike ndo wenye mamlaka husika hujitokeza kwa muda tu nakutokomea tena, pole sana wakazi wa hapo ila usitegemee jipya [emoji848]
 
Nimepita morning nikiwa naenda job,duu poleni sana,
 
Mwanangu GENTAMYCINE ashapiga sana kelele kuhusu mambo ya huko kawe,ila kuna watu humu wanaishia kumshambulia

Ova
 
View attachment 2681679

Usiku wa kiamkia tarehe Julai 8, 2023 mpaka muda naandika hii thread Mwamposa anafoka tu kutokea pale Kawe anapofanya maujinga yake.

Ni wazi NEMC haina meno kwa kuwa inaweza kuzifungia baa tu za Kitambaa Cheupe au Juliana na Wavuvi Camp lakini huyu wameacha atunyime usingizi wakazi wa Kawe, Mbezi na Mikocheni.

Tahadhari unapochangia kumbuka mimi ni Mkristu but I am fed up with this hooliganism and indoctrination.
Mkristu ni nini?
 
Sasa wewe unakaa huko Jamhuri?
Wanaokaa karibu ndo wanapaswa kulalamika...
Mtu anakaa kawe analalamika Kanisa kawe...wewe unasema uliwahi ona msikiti Jamhuri?wewe unaishi Jamhuri??..au ukipita Tu sehemu ukakuta msikiti basi Una haki ya kulalamika???

Sheria za nyumba za Ibada zinaanzia kwenye Nani kamfata mwenzake ...na Kwa umbali gani.....na vyombo vya kupaza sauti volume gani...sio mambo ya kupita Tu na kuona kitu ulalamike
Hujanielewa nini nimeuliza silalamiki kuhusu kelele nimetaka tu kufahamu ni madhehebu gani
 
Back
Top Bottom