Netanyahu aipiga mkwara mzito Iran na nchi zote za mashariki ya kati

Wewe mpumbavu una fananisha Hezbollah kijikundi na taifa la Iran wajinga wamejaa humu
Unaweza kukuta jamaa ni msomi wa university lakini anaongea ujinga hata mtoto wa darasa la Saba angeweza kung'amua vitu vidogo tu kama hivi
 
Israel akiingiza majeshi Gaza itakuwa makaburi kwa wanajeshi wa Israel. Alisikika kiongozi wa Iran akisema hivyo.
 
Usiseme hivyo Allah anaweza kuwalinda watu wake wa middle East. Sema nao wanam keep busy sana kila siku kusimamia logistics za wale mabikira peponi....kumbuka trend ni kubwa wakati mwingine anazidiwa
 
Walimuua Rais aliyeamuru kurusha makombora ndani ya Israel..hawakuridhika wakatoa roho kiongozi wa Hamas,ulitaka kisasi kipi tena ?
 
Walimuua Rais aliyeamuru kurusha makombora ndani ya Israel..hawakuridhika wakatoa roho kiongozi wa Hamas,ulitaka kisasi kipi tena ?
Hata Burundu kama itasaidiwa na NATO, USA, UK watawapiga hata Mrusi. Lkn Isreal yeye peke yake hata JKT wananguvu
 
Vipi na hezbollah , hamas , houth ni kambi za kigaidi za Iran?
 
Israel akiingiza majeshi Gaza itakuwa makaburi kwa wanajeshi wa Israel. Alisikika kiongozi wa Iran akisema hivyo.
Vijana wa namna yako nawajua wengi!

Subiri vita ianze jawabu kamili utalipata mwenyewe.
 
Bora hata std 7 yaani ukiangalia thead za kobazi zimejaa ubishi hata wakipigwa wanasema hamas wameshinda, hezbollah wanaenda kushinda utafikiri elimu zao wameishia madrasa
America, Israel, UK na NATO dhidi ya palestina mwaka sasa. Unategemea nini? Kama ingalikuwa Vatican dhidi ya Isreal majoho yote wangalikuwa yashachomwa moto
 
Hayo makombora ndio yaliompeleka kuzimu mzee wa helikopta umesahau
 

Watumishi uchwara hapo sasa ni fulu kukenua ...
 
Mungu laitiv
Mungu laiti ungetupa kiongozi kama huyu, sio tu lie nae,anayepiga vijembe, na kutuimbia taarab, huku karembua macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…