Netanyahu aipiga mkwara mzito Iran na nchi zote za mashariki ya kati

Netanyahu aipiga mkwara mzito Iran na nchi zote za mashariki ya kati

Wewe mpumbavu una fananisha Hezbollah kijikundi na taifa la Iran wajinga wamejaa humu
Unaweza kukuta jamaa ni msomi wa university lakini anaongea ujinga hata mtoto wa darasa la Saba angeweza kung'amua vitu vidogo tu kama hivi
 
Hao wakithubutu wanapata aibu ya karne.

Syria naye amepanga kurudisha eneo lake na taarifa rasmi zinasema takribani wanajeshi elfu arobaini kutoka Yemen, Taliban, Iraq na Syria wenyewe wapo hapo mpakani na Israel. Wanasubiri kosa la kiutebdaji alifanye Israel.

Netanyahu akithubutu kuingiza jeshi kwenye mipaka ya Lebanon hiyo ni vita kamili. Na jeshi la Israel limesha prove ni mdebwedo kwenye vita yake na Hamas.

Na kinachofanyika sasa hivi Iran ananunua silaha za kuzamisha meli Russia na kumpatia Yemen. Ikiwa vita ikiaanza Yemen atakuwa anadili na meli za kijeshi za Bwana Nato hapo baharini.

Hivyo mazingira kwa Israel na mabwana zake si rahisi kihivyo!
Israel akiingiza majeshi Gaza itakuwa makaburi kwa wanajeshi wa Israel. Alisikika kiongozi wa Iran akisema hivyo.
 
Anasema hakuna sehemu Iran na middle east yote ambapo mkono wa jeshi la Israel hauwezi kufika.

My take
Kuna haja ya Iran na wadau wake waweke tofauti zao na Israel pembeni. Maana Israel kwa sasa anaweza hata kuua nusu ya raia wa middle east na watu wote wakabaki wanamchekea. Hakuna mtu wa kumchukulia hatua wala kumzuia chochote qtakachoamua kufanya kwa yoyote duniani.
Usiseme hivyo Allah anaweza kuwalinda watu wake wa middle East. Sema nao wanam keep busy sana kila siku kusimamia logistics za wale mabikira peponi....kumbuka trend ni kubwa wakati mwingine anazidiwa
 
Ujinga umekujaa huyo Israel hajafika hata nusu ya Ujerumani.

Kijitaifa kinachoishi ndani ya ngao ya ulimwengu wa magharibi hakina uwezo wa kutisha mashariki ya kati yote.

Iran iliporusha makombora Israel na yalifika [ hivi unajua hicho kitendo ni kuhararisha vita ya moja kwa moja ] kwa nini Israel hakuivamia Iran kivita kama yeye anaweza kuua mashariki ya kati yote ?

Una kichwa kitumie kufikiri sio kujaza ujinga.
Walimuua Rais aliyeamuru kurusha makombora ndani ya Israel..hawakuridhika wakatoa roho kiongozi wa Hamas,ulitaka kisasi kipi tena ?
 
Walimuua Rais aliyeamuru kurusha makombora ndani ya Israel..hawakuridhika wakatoa roho kiongozi wa Hamas,ulitaka kisasi kipi tena ?
Hata Burundu kama itasaidiwa na NATO, USA, UK watawapiga hata Mrusi. Lkn Isreal yeye peke yake hata JKT wananguvu
 
Hii inafahamika Israel ni kambi ya kijeshi ya nchi za magharibi hapo mashariki ya kati.

Na ndiyo maana kila Israel inapokuja na azimio la kuishambulia Iran kijeshi kwanza anaenda kwenye bunge la US kuelezea mpango kazi wake.

Wakiridhishwa nao wataingia na wasiporidhishwa nao wanamwambia tulia kwanza.
Vipi na hezbollah , hamas , houth ni kambi za kigaidi za Iran?
 
Israel akiingiza majeshi Gaza itakuwa makaburi kwa wanajeshi wa Israel. Alisikika kiongozi wa Iran akisema hivyo.
Vijana wa namna yako nawajua wengi!

Subiri vita ianze jawabu kamili utalipata mwenyewe.
 
Bora hata std 7 yaani ukiangalia thead za kobazi zimejaa ubishi hata wakipigwa wanasema hamas wameshinda, hezbollah wanaenda kushinda utafikiri elimu zao wameishia madrasa
America, Israel, UK na NATO dhidi ya palestina mwaka sasa. Unategemea nini? Kama ingalikuwa Vatican dhidi ya Isreal majoho yote wangalikuwa yashachomwa moto
 
Netanyahu ni mwendawazimu hiyo my take yako ya kipuuzi Iran ilishaonesha hana anacho hofia na ndio maana ilirusha makombora katika nchi yake huyo Netanyahu kama yeye anajiamini na yeye angerusha makombora au kupeleka tu ndenge twake kumvamia mwenzake simple like that aache vitisho vya kitoto vya kijinga.
Hayo makombora ndio yaliompeleka kuzimu mzee wa helikopta umesahau
 
Anasema hakuna sehemu Iran na middle east yote ambapo mkono wa jeshi la Israel hauwezi kufika.

My take
Kuna haja ya Iran na wadau wake waweke tofauti zao na Israel pembeni. Maana Israel kwa sasa anaweza hata kuua nusu ya raia wa middle east na watu wote wakabaki wanamchekea. Hakuna mtu wa kumchukulia hatua wala kumzuia chochote qtakachoamua kufanya kwa yoyote duniani.

Watumishi uchwara hapo sasa ni fulu kukenua ...
 
Mungu laitiv
Anasema hakuna sehemu Iran na middle east yote ambapo mkono wa jeshi la Israel hauwezi kufika.

My take
Kuna haja ya Iran na wadau wake waweke tofauti zao na Israel pembeni. Maana Israel kwa sasa anaweza hata kuua nusu ya raia wa middle east na watu wote wakabaki wanamchekea. Hakuna mtu wa kumchukulia hatua wala kumzuia chochote qtakachoamua kufanya kwa yoyote duniani.
Mungu laiti ungetupa kiongozi kama huyu, sio tu lie nae,anayepiga vijembe, na kutuimbia taarab, huku karembua macho
 
Back
Top Bottom