Netanyahu atuma ujumbe kwa iran, "Hatuna shida na wananchi, ni wakandamizaji wanaotumia pesa zenu kufadhili ugaidi, uhuru wenu upo karibu"

Netanyahu atuma ujumbe kwa iran, "Hatuna shida na wananchi, ni wakandamizaji wanaotumia pesa zenu kufadhili ugaidi, uhuru wenu upo karibu"

Very soon Netanyahu atawabariki watu wa Iran. Wote tuseme.. Amen
 
Mpaka yule kikofia kobazi afe, atajiuzulu kabisa
Wamechelewa, miaka zaidi ya 40 Iran ikiwa na vikwazo na kutengwa na dunia imejitutumua imefika pale chini ya huo huo uongozi wa kobazi, hata wananchi wanaona.

Matumaini ya wananchi wengi yapo kwenye serikali yao.
 
UKWELI NI KWAMBA ISRAEL AMUWEZI MUIRAN HATA KIDOGO ILA KOSA KUBWA LA WAIRANI NI KUWA WAISIHARAMU....KAMA NINAVYO SEMA HAPA KUWA WAISIHARAMU HUWA AWANA AKILI NI KAMA WANAWAKE WASIVYO NA AKILI HASA YA UONGOZI BASI mbinu watakayo tumia mabeberu kwa iran itakayo fanikiwa ni kucheza na upumbavu wa waisiharamu kwa KUWAFARAKANISHA WAO KWA WAO....MAJUZI IRAN IMETOKA KWENYE MAANDAMANO MAKUBWA KISA NYWELE ZA MWANAMKE KUONEKANA SERIKALI YA IRAN IKAINGIA KICHWA KICHWA NA KUSABABISHA VURUGU KUBWA ...SASA HIVI WANATAKA KUPITISHA SHERIA NYINGINE YA KIPUMBAVU KUHUSU MAVAZI ITAKAYO WEZA KUTUMIWA NA MABEBERU KULIFARAKANISHA TAIFA LA IRAN NA KULIPOLOMOSHA .....KITU AMBACHO MUARABU KINA MSHINDANI VIBAYA SANA MUARABU MUISLAMU SIKUZOTE NI FITINA ZA MABEBERU .....
Mabeberu yanao uwezo wa kuiangusha Iran kwa fitina siyo kijeshi ...uwezo wa kuiangusha au kuidhohofisha iran kwa fitina unaweza kuwa na ufanisi wa asilimia 78% na uwezo ya kuianguza au kuidhohofisha iran kijeshi ufanisi ni asilimia 22%
Ufafanuzi wako na maoni yako yanakufurahisha mwenyewe.
 
Wamechelewa, miaka zaidi ya 40 Iran ikiwa na vikwazo na kutengwa na dunia imejitutumua imefika pale chini ya huo huo uongozi wa kobazi, hata wananchi wanaona.

Matumaini ya wananchi wengi yapo kwenye serikali yao.
Subiri hapo kichwa kinaliwa mda si mrefu.
 
Subiri hapo kichwa kinaliwa mda si mrefu.
Wakila kichwa missiles zinatua Tel Aviv kama kawaida, huu muda waajemi hawacheki na nyani, hata shambulizi la israel lilikuwa hlina madhara kulinganisha na hasara waliyopata wayahudi, ndio maana Iran ikaona haina haja kuwalipiza.
 
Umejuaje au nani kakuambia hayo 👆 👆 👆 ??
Je, ww ni mmojawapo wa makamanda wa vikosi vya Waajemi?
 
Netanyahu bhana! Angekuwa bro ningefurahi Sana maana amewapukuchua Kama mahindi😂 alafu anawapa hotuba nzuri sana. Wabishe Sasa tuone.
 
Umejuaje au nani kakuambia hayo 👆 👆 👆 ??
Je, ww ni mmojawapo wa makamanda wa vikosi vya Waajemi?
Wengi wenu humu mlidhani Iran ni nchi ya kuichukulia poa, majasusi kutoka EU na US ndio maana walionya Israel kuhusu kushambulia miundombinu ya gas na mafuta na ndicho Iran ilisubiri ili kusudi ipate ticket ya kuadhibu vyema israel.

Mashambulizi ya Israel kila mmoja ameona air defenses za Iran zikitungua missiles za Israel, huku misssiles za Iran zikionekana kupiga Israel kama mvua.

Anga la Israel lipo wazi, viwanda vya missiles Iran vipo chini ya mahandaki yaliyopo chini ya milima, vinu vya nuclear pia...

Hivyo Israel haiwezi jidanganya kupambana na adui ambae anafahamu fika anaweza kushambulia ardhi yake muda wowote... hata ingalikuwa ni mimi ningeufyata...
 
Naona kila siku mwakunyazi ya Netanyahu yanaongezeka anafikiria kitu ambacho hana uwezo wa kikuzua,Iran ni mkubwa sana kwa Netanyahu inabidi alifaham hillo
Iran hii hii ama kuna nyingine mm ndo sijui geograph ya dunia vizur
 
Huyo Netanyau mwenyewe kwenye nchi yake hatakiwi ,na bado kesi za ufisadi zinamuandana.
Hakuna Kiongozi aliyewahi kupendwa na wote popote dunia tangu ngazi ya familia mpaka kidunia.
 
Furaha yangu itakamilika siku ayatollar khemeney akiliwa kichwa
 
Ufafanuzi wako na maoni yako yanakufurahisha mwenyewe.
Hapa hatupo.kufurahishana hii ni fact .... fitina ndiyo inayo washinda waarabu na kujipiga bunduki wao wenyewe kwa wenyewe
 
Back
Top Bottom