Glory to God. π₯π₯Mungu amekupa nguvu ya kuanzisha jambo kubwa. Usiishi kwenye maono ya wengine.
Ikiwezekana usiajiriwe ndipo utafika mbali
Hallelujah.Glory to God. π₯π₯
Unachosema ni kweli kabisa October 2025 hatoboi . Hapa nilipo nina project kubwa sana hadi naogopa mwakani nataka anzisha bank
07/05/1985 sema neno kwa kiswahili sanifu.Hallelujah,
Jambo usilolijua utaliona kama mlima, possibility utadhani impossibility.
As a upcoming prophet of these bad days leo nitakuonyesha kusudi la Mungu maishani mwako, kwasababu watu wengi wanaishi nje ya kusudi la Mungu maishani mwao. Comfortability mtu ataipata siku akikikaa na kutulia kwenye wito wake.
Pia nitakuambia changamoto unazokabiliana nazo na suluhisho la Kimungu.
Hii huduma ni bure. Sihitaji sadaka ya mtu, nina kipato kinachonitosha.
Niwekee tarehe yako na mwezi uliozaliwa kisha niache Mimi nipekenyue maisha yako.
Note: saa 1 kamili usiku leo nafunga ukurasa
Amen.Hallelujah.
Furaha yangu ni kuona watu kama wewe mnaompa Mungu utukufu
Ukitaka kuanzisha jambo lako utakutana na changamoto na ili uzitatue. Ziba masikio.
Wewe nakupa homework.07/05/1985 sema neno kwa kiswahili sanifu.
Uliitwa na Mungu hukusikia/hukuwa tayari. Itika sasa11/05/1995
Mungu amekufanya uwe unafanya maisha ya watu yasiyotulia yatulie.4/1/1966
Mungu atakufanya usione njaa au dhiki yoyote maishani mwako.October 2025 hatoboi 01 December
Nakutabiria mpaka tarehe 3. December. 2025 utakuwa tayari umesima upya.12/03
Hakika hakika!Amini kijana
Badili mwelekeo. Badili mtazamo.23.7.1993
nifafanulie mkuuBadili mwelekeo. Badili mtazamo.
Kuna jambo lazima ukubali Mungu akubadilishe halafu ufikie kwenye hatma yako.
Nifanye nini ili niitikeUliitwa na Mungu hukusikia/hukuwa tayari. Itika sasa
Unaskia01/07