Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Hivi hii nchi bado kunamtu analipwa mshahara chini ya laki 3 na anaendelea na kazi
 
Ni kweli inategemea na taasisi.
 
Naomba kujua mshahara wa PTHS 1.1 na NACTVET 4 ni shingapi
 
Master ya afya pekee kwenye utumishi ukiacha academic institution ambayo Ina salary ni MMED,ukiwa wizara/TAMISEMI,utaanza na TGHSG=2,300,000/=,Mashirika ya umma PMGSS 11=3,200,000/=
Ok.Na akiwa assistant lecture kwa MMED ni ngap anapata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…