Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Hello samahani wakuu naomba kuuliza PGSS 4.1 scale yake ni ngapi haswa maana inachanganya na PSSG 4.1?!
 
Naomba kujua TIASS 5.1 , 6.1 na 7.1 ni kiasi gani, hizo ni salary scale za maafisa wa TIA wasio wanaaluma
 
Back
Top Bottom