Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Habari wadau. samahani naomba kuuliza kama kuna mdau yoyote anaijua o COPRA (Cereals and Other Produce Regulatory Authority - Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko salary scale zao tafadhali naomba msaada
 
Hiyo cobra ndo naisikia.
 
Habari wadau. samahani naomba kuuliza kama kuna mdau yoyote anaijua o COPRA (Cereals and Other Produce Regulatory Authority - Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko salary scale zao tafadhali naomba msaada
Yaaani ukisikia Authority we kimbia nenda huko kuna kisima cha asali
 
H😀, Mmmmh nilishawahi kugongwa na nyoka, kwahiyo muda huu yasiwe yale yale
Wametoa nafasi?? Au ww unataka kuhamia?

Kuna jmaa yangu alihamishiwa huko toka wizara ya kilimo wakati inaanzishwa muda mwingi wako field wanakula perdiem
 
Back
Top Bottom