Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

shukrani kama kuna per diem, acha nijitose. shukrani sana. asante kwa muongozo huo
Ila mkuu nadhani inategemeana na kada yako,jamaa yangu mimi ni mtaalamu wa kilimo yaani alisoma kilimo SUA,Sasa kwa kada zingine sijajua kama wana mitoko au nikukaa tu ofisini 😀
kwa zile kada zinazokaa tu ofisini inabiri uangalie salary ecale na malipulupu mengine

Ata hivyo kwa Authority huwa zinaboreshewa masilahi naamini scale zao zinaweza zisiwe mbaya na sidhani kama wanatumia TGS pale
 
Back
Top Bottom