Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Mshahara inategemea unaajiriwa na mamlaka ipi e.g TAMISEMI (Halmashauri), Taasisi, Mamlaka, Wakala, Shirima, Tume n.k
Swali la uelewa, hivi mamlaka zote zina mishahara sawa.. or tume zote zina mishahara sawa, maana ni the same authority or Tume?..
 
Master ya afya pekee kwenye utumishi ukiacha academic institution ambayo Ina salary ni MMED,ukiwa wizara/TAMISEMI,utaanza na TGHSG=2,300,000/=,Mashirika ya umma PMGSS 11=3,200,000/=
Ukienda tra ni mishahara ya diploma na degree za miaka mitatu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…