Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Dah kumbe hawa jamaa wanalipwa pesa kidogo hivi? (I mean take home)
 
Mwalimu mwenye degree 385,000/,polisi certificate take home ,250,000/- +150,000/(allowance)= 390,000/- mpaka hapo ushaona walimu wanavyopunjwa,yaani mtu alikuwa na 4.28 firm4 wewe labda ulikuwa na one au two ,umeenda chuo kikuu mwenzio kaenda kuchukua cerificate ya law anakuzidi kwa mapato inaudhi
 
about 400,000 kwa kuanzia! pia waweza angalia nchi jirani hasa sudani kusini..waweza kufundisha na kupata pesa nyingi zaidi..usiogope kuchukua risk!!

mkuu nikuPM
 
mwakani namalza hako ka'digrii kangu ka'ualimu na hatmaye nimekata shauri bora nijiunge na jeshi tu. Naogopa daima kuwa maskini

KAMA UNAMALIZA MWAKAN NADHANI UTAANZA NA HELA NZURI KIDOGO KWANI WANAOANZA MWAKA HUU MSHAHARA WAO NI 532000/ BILA MAKATO YOTOTE NAYASEMA HAYA KWANI NIMESOMA WARAKA MPYA WA SERIKALI BAADA YA NYONGEZA YA MWEZI WA SAB MWAKA HUU HIVYO BASI UTAPETA, KWENYE UALIM HAMNA KUBANWA KAMA ILIVYO JESHI CKU HUJCKIII KUFUNDISHA UNATOA TU SWALI GUMU UBAONI WANAKOSA YOTE HIVYO RAHSI KUMARK. UKIWA NA MIRADI YAKO UTAKULA BATA MBAYA HAMNA WA KUFUATATA KWANI WAMEKATA TAMAA NA WAKUU WETU NDIO ALEWALE DIPLOMA WANAOGOPA SANA WENYE DIGRII CJUIA KWA NINI MPAKA WENGINE WANATAMANI KUACHA KAZI NA WENGINE WAMEAMUA KWEND KUSOMA SAIV.:A S-heart-2:
 

kama umesomeshwa na heslb ondoa tena 8% hapo,kwa kifupi makato ni mengi sana.
 


ndiyo maana nikitamani kuajiriwa nasikia akili inaniruka. Hayo makato yote ukiachia PSPF na Bima ya Afya ni kwa faida ya nani?
 
mfanyakazi anayelipwa ktk ngazi ya PGSS 5,mshahara wake ni kiasi gani kwa mwezi?
 
Ukifuatilia mishahara ya serikali utapata presha tu. Mkuu na masahisho hapo. Mwisho kwa wafanyakazi wa serikali ni TGS I sio H. Kuanzia TGS J ni presidential appointment kama wakurugunzi. Mshahara wa juu wa seilkali ambao ni TGS I kwa mashirika mengine ya UMMA ni mshahara wa kawaida sana.
 
1.4M kwenye mabenki na NGO kitu kidogo sanaa, kuna sehemu fulani nyeti nyeti kweeeeli yani unakuta mtu wa chini anavuta 1.5M mpaka unashika kichwa kinauma. Kwa hali hii tutafika kwelii? :confused2:
 

asante mkuu..na TRA yakwao ikoje?
 
TRA wana scale zao tofauti na za Serikali....Agency zote za Serikali pia wana scale zao tofauti kabisa kama Tanroad,Ewura,Sumatra,TBS etc...hao wanalipana sana sana pia Authority zote nao wana scale zao tamu sana!!
 
TRA wana scale zao tofauti na za Serikali....Agency zote za Serikali pia wana scale zao tofauti kabisa kama Tanroad,Ewura,Sumatra,TBS etc...hao wanalipana sana sana pia Authority zote nao wana scale zao tamu sana!!

sawa..ila unafahamu labda salary scale yao kwa mtu wa bachelor akianza?
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…