Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani kama hamna uhakika kuhusu mshahara huo msipost kujifurahisha, mshahara bila makato ulishafika 500,000 + ....... hakuna mwalimu wa degree anaechukua chini ya 450,000 kama take home. ukiachana na jeshi baada ya afya ni walimu hata wahasibu takehome hawamkuti mwl, dai la msingi la walimu ni kwamba kazi hailingani na malipo.
mhasibu anacheza na noti so kuchakachua ni kazi ndogo sana ila mwalimu yeye ni vumbi la chaki sijui atachakachua nn hapo?
jamani kama hamna uhakika kuhusu mshahara huo msipost kujifurahisha, mshahara bila makato ulishafika 500,000 + ....... hakuna mwalimu wa degree anaechukua chini ya 450,000 kama take home. ukiachana na jeshi baada ya afya ni walimu hata wahasibu takehome hawamkuti mwl, dai la msingi la walimu ni kwamba kazi hailingani na malipo.
jamani kama hamna uhakika kuhusu mshahara huo msipost kujifurahisha, mshahara bila makato ulishafika 500,000 + ....... hakuna mwalimu wa degree anaechukua chini ya 450,000 kama take home. ukiachana na jeshi baada ya afya ni walimu hata wahasibu takehome hawamkuti mwl, dai la msingi la walimu ni kwamba kazi hailingani na malipo.
Unataka ya nini?
Kada za afya ziko nyingi aisee kuanzia madaktari,manesi, wauguzi, wakunga, mabwana afya, wataalamu wa maabara, wataalamu wa viungo bandia nk.nataka kujua viwango vya mishahara vya kada ya afya!
Kada za afya ziko nyingi aisee kuanzia madaktari,manesi,wauguzi,wakunga,mabwana afya,wataalamu wa maabara,wataalamu wa viungo bandia nk.Labda uwe specific ni kada ipi hasa ili wanaojua wakupe msaada..
OK
nashukuru kwa kunielewesha nilikuwa nahitaji kujua juu ya upande wa
Diploma ya medicine(clinical officer)
na Diploma bwana Afya(Health Officer)
Nawasilisha!
Kwa mwaka huu wa fedha 2012/2013 ,tabibu(clinical officer) analipwa sh 535,000...daktari (medical officer) analipwa 1,102,000 kwa mwezi
Kuhusu mabwana afya sina uhakika labda nifanye utafiti then nitaleta hapa..
Pouwa kaka nimekusoma Mkuu!!
Hapo ni pamoja na makato?
Kabla ya makato mkuu....wewe ni CO au ndio una mpango wa kusoma?