Yusuph p. Kisunzu
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 120
- 9
Oya tupeni kwa upande wa cheti napo yaani clinical assistant(CA)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nina mpango wa kusoma kati ya hizo mbili CO na bwana AFYA sijui kozi ipi ni nzuri zaidi hapo KAKA
Oya tupeni kwa upande wa cheti napo yaani clinical assistant(CA)
diploma 680,000/=
data za zamani kabla ya bajeti mpya diploma 680,000/-, degree975,000/=
TGTS D1 ambayo kabla ya makato ni sh 450,000.00
makato yake kuna PSPF
Bima ya Afya
Chama cha walimu
Tax Pay as you Earn
mengine yatakuja ya mikopo kama utakopa
nadhani take home inaweza kua 320,000.00
mhasibu anacheza na noti so kuchakachua ni kazi ndogo sana ila mwalimu yeye ni vumbi la chaki sijui atachakachua nn hapo?
Acha upotoshaji! Wewe ka ndo Huna hakika unyamaze!
Basic salary degree holder 532,000,TGTS D1
MAKATO
PSPF 26,600
INCOME TAX 57,808
CWT 10,640
BIMA YA AFYA 15,960
RCUR 32.95
RPRV 58.95
HESLB 36,600
Halafu hapo take home itakuwa juu ya 450,000/=?
[TD="align: left"][/TD]
[TD="align: left"]
[/TD]
[TD="align: left"]
[/TD]
Mshahara kwa anayeanza kazi mwaka huu 2013 ni sh 532,000 basic salary. Huu ndio ukweli.
320,000.00 ukigawa kwa 30 ni sawa na 10,700/= Tshs kwa siku!
Hivi pesa hii mtu akijipanga kufanya kilimo cha umwagiliaji wa pampu tu ya kawaida akitumia maji ya mto wa kudumu hawezi kupata hata 500,000 kwa mwezi?
Nauliza tu, I stand to be corrected!