Yaani wewe uko deep sana kwenye salary scale za serikali, vizuri sana kwa kutupa mwongozo. Hebu nijuze na mimi PGSS 10 ni range ya sh ngapi?
RS .2 gross ni 1,545,000 sasa jipigie hapo kutoka G had R..... sema utatibiwa wewe na wazaz wako TMJ
kweli hata mimi ningependa kujua scales hizi zina maana gani hasa kabla ya kuomba kazi kwa serikali mtu asije akaomba na kupita interviews zote na kukuta scale ambayo hangependa kuanzia. PRSS1 ni kiasi gani? ningependa kujua hili.GP tunashukuru kwa kutujuza....je inawezekana hizi scale zikawekwa hapa na range za mishahara yake?, Je kuna website unaweza kuzipata information za scale na mishahara yake?
kweli hata mimi ningependa kujua scales hizi zina maana gani hasa kabla ya kuomba kazi kwa serikali mtu asije akaomba na kupita interviews zote na kukuta scale ambayo hangependa kuanzia. PRSS1 ni kiasi gani? ningependa kujua hili.
Hata mimi hapo ndo nataka kujua
wadau mwenye kujua hizi salary scale za serikali anijuze taafadhaali!......Ahsante
TGS Grade A, Grade b,Grade c, Grade D, Grade E, Grade E and Grade F