Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

umma.
mfano kuna scales kama TGS, PHTS, PUTS,
PTSS, PGSS, PRSS na itakua tofauti kutegemea
na taasisi husika.
mfano PRSS 3 = NIP 15, scale ya PRSS
inatumiwa kwenye taasisi za umma kama
NATIONAL INSTITUTE FOR PRODUCTIVITY (NIP),
TAEC etc.
sasa kwa swali lako hii scale kwa
 
GP tunashukuru kwa kutujuza....je inawezekana hizi scale zikawekwa hapa na range za mishahara yake?, Je kuna website unaweza kuzipata information za scale na mishahara yake?
 
Last edited by a moderator:
Jamani naombeni kujuzwa ngazi ya mishahara mipya ya GS.1 Tanzania Petroleum Coorperation Development TPDC ni sawa na shillingi ngapi?:A S thumbs_up:
 
RS .2 gross ni 1,545,000 sasa jipigie hapo kutoka G had R..... sema utatibiwa wewe na wazaz wako TMJ
 
mishahara ya kibongo kwani mikubwa basi?wewe nenda marupurupu yanazidi mshahara,ukienda field mzee mahela ya kymwaga,TPDC MAFIELD KIBAO,inategemea na kitengo lakini
 
Ktk tangazo jipya la kazi kuna RS1, NA GS1... kwani RS 1 GS 1 ni sawa shillingi ngapi? au ndiyo tuseme mishahara itapunguzwa kwa watakaoajiliwa kwa tangazo hilo jipya?
 
Mtoa mada anaonesha jinsi asivyo makini, yaani hata kirefu cha tpdc alivyokiandika ni kuwa hana shida na alichokiuliza
 
GP tunashukuru kwa kutujuza....je inawezekana hizi scale zikawekwa hapa na range za mishahara yake?, Je kuna website unaweza kuzipata information za scale na mishahara yake?
kweli hata mimi ningependa kujua scales hizi zina maana gani hasa kabla ya kuomba kazi kwa serikali mtu asije akaomba na kupita interviews zote na kukuta scale ambayo hangependa kuanzia. PRSS1 ni kiasi gani? ningependa kujua hili.
 
mama yuva unikumbuke kwenye ufalme wa mwisho wa mwezi.

soma hapa wameeleza sana:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/494159-mishahara-mipya-serikalini-yawekwa-wazi-kima-cha-chini-kutoka-sh170-000-hadi-hadi-sh240-000-a.html
 
Last edited by a moderator:
Naomba kujua kiwango cha mshahara kwa mwalimu mwenye shahada anaeanza kufanya kazi serikalini
 
Nchi hii wanyonge ndiyo tunaoliwa tu, kwenye siasa wanaridhishana, kwenye ajira za serikali wanaundiana scale zao tofauti, mimi sikubali tena, nasema huu ni mwishooooooooooooooooo
 
mh! kianzia leo sifanyi kazi kwakieleele tena yani sijitumi ng'o hadi nifike TGS I ndo ntakua nakieleele....akhaaaa yani bado niko TGS C
 
Back
Top Bottom