Kama ni freshy lakini.. ila kama ulikuwa na diploma hapohapo serikalini ukaenda kujiendeleza ukarudi na degree unakuwa E ila kama ni freshy unapewa D. Wanaconsider experience rather than your degree.
Na ukiomba ukapewa D alafu ukajiendeleza ukapata Masters unapewa ngapi?
...nimefuata nini kwenye huu uzi? :msela:
Mada yahusika-kumekuwa na swala la ngazi za mishahara ambalo watu wengi wamekuwa wakiulizia' hii ni kwa sababu waajiri wengi wanapotangazi ajira huwa hawaelezi ni kiasi gani kwa tarakimu mfano ngazi ya mshahara ni TGS D...A B C E n.k ombi langu wakuu kwa yeyote anayejua ngazi za mshahara serikalini atufahamishe hapa kuanzia na TGS A na kuendelea....naomba kuwasilisha hoja
TGS A ni ndogo kuliko B na kuendelea! TGS J ni kubwa mno katika utumishi wa Umma Serikali kuu!
Unaweza kuipakua hapa hiyo scale Ingawa ni Siri kubwa kwa Serikali
Mkuu nikikuwekea the way unavyotaka hautaielewa...!! Ina majedwali na columns kibao...!!Tatizo umeweka kwenye Pdf...ungetuandikia moja kwa moja ingekuwa safi tunatumia Tecno mkuu...otherwise thanka for your contribution