Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

kila ofisi wanajiamulia unaweza kuta TGS B TCCL NI MIL 2 BUT TGS B HIYOHIYO UHAMIAJI MIL 1.5....INATEGEMEA UNAFANYA OFISI GANI........
 
Kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma wa kada za chini kabisa ni tgsa =170,000/=
hizi tgs hutofautiana kati ya idara moja ya serikali na nyingine kulingana na vipaumbele vya serikali kisekta.

Idara ya afya tgs zao ni tofauti kabisa na idara ya elimu, unaweza kukuta nurse wa tgsb anapata mshahara mkubwa kuliko mwalimu wa tgts d.
Umeisomaa
 
VETA wapo ktk mabadiliko ya scale yao, lkn mpaka sasa wanatumia VETS 1, VETS 2, VETS 3, VETS 4.3 = 763,000 na inakwenda mpaka VETS 10 .....!
 
Kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma wa kada za chini kabisa ni tgsa =170,000/=
hizi tgs hutofautiana kati ya idara moja ya serikali na nyingine kulingana na vipaumbele vya serikali kisekta.
Idara ya afya tgs zao ni tofauti kabisa na idara ya elimu, unaweza kukuta nurse wa tgsb anapata mshahara mkubwa kuliko mwalimu wa tgts d.
Umeisomaa

sure mshara wa mwalimu gradute 585000 haumfikii nurse wa diploma ni zaidi ya hiyo
 
Napendekeza wafanyakazi wa serikali waondokane na matumizi ya hili neno "watumishi wa umma;" hawawezi wakawa watumishi wa umma wakati umma yenyewe inafichwa kiasi cha fedha kinacholipwa kwa niaba yake kwa watumishi hao. Kitendo hicho cha kufanya hiyo mishahara yao kuwa siri kubwa, ni ushahidi tosha ya kuwa viwango vya mishahara hiyo vinapangwa kifisadi fisadi
'

Kwa sasa waitwe " Watumishi wa Siri-kali "
 
Unachotakiwa ujue ni kwamba TGS A ya UDSM sio sawa na TGS A ya UDSM au SAUT. Nadhani umenielewa
 
Nenda jukwa la siasa, kuna thread inayozungumzia mishahara ya serekali,, wameanisha kila ngazi na kiwango chake cha mshahara
 
Back
Top Bottom