Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Mkuu Sinziga hivi nikiomba kazi nikiwa na masters au phd let say kilimo, salary huanza na namba ngapi?

Afu hizo D1,2,3...9 ni vitu gani? Je ni experience au ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kuipakua hapa hiyo scale Ingawa ni Siri kubwa kwa Serikali

Kama ulikula kiapo cha kutotoa siri na leo unazitoa tena kwenye mitandao bila hata aibu,nakupa pole sana endapo watakuchukulia hatua.

Mishahara ni siri ndio maana hata ya taasisi binafsi huioni ikianikwa anikwa hovyo.

Tafakari
 
Unaweza kuipakua hapa hiyo scale Ingawa ni Siri kubwa kwa Serikali

Ukurasa wa tatu anasema "Waraka huu ni kumbukumbu na taarifa ya Serikali na hairuhusiwi kutangazwa kwenye vyombo vya habari".

Hivyo mkuu wakikukamata waweza kunyea DEBE kama mmoja wa waandishi wa habari wa Songea. Ungetumia ID nyingine siyo hii inayoonyesha kuwa ni verified member. Wanaweza kumtaka Invisible awalete kwako akigoma yeye anatiwa msukosuko
 
Kwahiyo Unashaurije?
 
Kwahiyo Unashaurije?

Angusha sala za kila aina kwa dini yako na pia omba mababu zako wakusaidie huko waliko, pia kama yawezekana utoe huo waraka kupoteza ushahidi kama mmojawapo wa wanoko aki-"mind" na kuanza mchakato wa kukutia msuko suko.
 
TGS A: 240,000/= to 335,200/=
TGS B: 347,000/= to 387,500/=
TGS C: 410,000/= to 520,000/=
TGS D: 567,000/= to 693,500/=
TGS E: 751,000/= to 912, 000/=
 
imekaa hvo mtumishi wa serikali anatambuliwa na hazina kwa check no siyo jina, pili tshs pia inatambuliwa kwa herufi siyo kwa kiasi ndivo database ilivo sio mambo ya siri, government works on papers and alphabet not figures.
 
Back
Top Bottom