Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Tatizo umeweka kwenye Pdf...ungetuandikia moja kwa moja ingekuwa safi tunatumia Tecno mkuu...otherwise thanka for your contribution
Techno haifungui pdf? Pole sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo umeweka kwenye Pdf...ungetuandikia moja kwa moja ingekuwa safi tunatumia Tecno mkuu...otherwise thanka for your contribution
Techno haifungui pdf? Pole sana mkuu
Unaweza kuipakua hapa hiyo scale Ingawa ni Siri kubwa kwa Serikali
Unaweza kuipakua hapa hiyo scale Ingawa ni Siri kubwa kwa Serikali
Kwahiyo Unashaurije?Ukurasa wa tatu anasema "Waraka huu ni kumbukumbu na taarifa ya Serikali na hairuhusiwi kutangazwa kwenye vyombo vya habari".
Hivyo mkuu wakikukamata waweza kunyea DEBE kama mmoja wa waandishi wa habari wa Songea. Ungetumia ID nyingine siyo hii inayoonyesha kuwa ni verified member. Wanaweza kumtaka Invisible awalete kwako akigoma yeye anatiwa msukosuko
Ngoja nijitoe kwenye huu Mjadala...samahanini!!
Kwahiyo Unashaurije?
Tecno P5 haifungui...au kuna program itakayoipa uwezo huo?
Lakini why iwe siri?
TGS A: 240,000/= to 335,200/=
TGS B: 347,000/= to 387,500/=
TGS C: 410,000/= to 520,000/=
TGS D: 567,000/= to 693,500/=
TGS E: 751,000/= to 912, 000/=
Tecno P5 haifungui...au kuna program itakayoipa uwezo huo?
Nenda play store usearch "adobe reader" afu install..itasoma tu!