Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
TGS A: 240,000/= to 335,200/=
TGS B: 347,000/= to 387,500/=
TGS C: 410,000/= to 520,000/=
TGS D: 567,000/= to 693,500/=
TGS E: 751,000/= to 912, 000/=
Kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma wa kada za chini kabisa ni tgsa =170,000/=
hizi tgs hutofautiana kati ya idara moja ya serikali na nyingine kulingana na vipaumbele vya serikali kisekta.
Idara ya afya tgs zao ni tofauti kabisa na idara ya elimu, unaweza kukuta nurse wa tgsb anapata mshahara mkubwa kuliko mwalimu wa tgts d.
Umeisomaa
'Napendekeza wafanyakazi wa serikali waondokane na matumizi ya hili neno "watumishi wa umma;" hawawezi wakawa watumishi wa umma wakati umma yenyewe inafichwa kiasi cha fedha kinacholipwa kwa niaba yake kwa watumishi hao. Kitendo hicho cha kufanya hiyo mishahara yao kuwa siri kubwa, ni ushahidi tosha ya kuwa viwango vya mishahara hiyo vinapangwa kifisadi fisadi
Unachotakiwa ujue ni kwamba TGS A ya UDSM sio sawa na TGS A ya UDSM au SAUT. Nadhani umenielewa
asilimia 41.5%naomba kuuliza walimu wameongezwa mishahara kwa kiasi gani
naomba kuuliza walimu wameongezwa mishahara kwa kiasi gani