Lung'wecha
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 927
- 574
MKUU HEBU NISAIDIE NA HII POSS 4 idara ya elimu chuo cha mkwawaPPRA ni Public procurement regulatory authority, ni taasis inayoregulate utaratibu wote katika manunuzi ya serikali, PPRA 7, ni salary scale ya watumishibwa ppra.
Habar zenu wanajamii! Hv kwa sasa TGS C ni sawa na sh.ngapi?
Ndugu,nakushauri piga shule japo ufike degree ndio uanze kutafuta kazi aisee au ujiajili mwenyewe...laaah sivyo utakula laki 1 kwa mwezi
Hicho ni kiwango cha mshahara kuanzia TSH. 471,000 Hadi Tshs. 592,000
una uhakika????1236000
Wewe mwenye uhakika tuambie ni kiasi gani?una uhakika????