Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

PPRA ni Public procurement regulatory authority, ni taasis inayoregulate utaratibu wote katika manunuzi ya serikali, PPRA 7, ni salary scale ya watumishibwa ppra.
MKUU HEBU NISAIDIE NA HII POSS 4 idara ya elimu chuo cha mkwawa
 
Naomba msaada wakuu kujua kiasi cha mshahara kwa scale hiyo.
 
SAMAHANINI WAKUBWA, MTU ALIYEANZA KAZI MWAKA 2011 AKIWA NA DIPLOMA, JE kwa sasa anatakiwa awe amepanda kwa daraja gani? na je mshahara wake wa sasa anapaswa apewe kiasi gani?
 
Habar zenu wanajamii! Hv kwa sasa TGS C ni sawa na sh.ngapi?
 
Wadau Nina Astashahada Ya Kilimo Kwa Ujumla(certificate In General Agriculture) Naomba Kama Kuna Mtu Mwenye Taarifa Ya Kampuni Lolote Linalohitaji Mtaalam Wa Kilimo Anijuze Tafadhari.
 
Naombeni kwa anayefahamu aniambie ngazi ya mshahara TTSS 5 kwa Tan trade ni sh ngapi
 
Wadau naomba kujuzwa kUHUSU mshahara ngazi ya PTSS 10-11 Tsh ngapi. Nipo kikazi South Sudan na nilifanya interview kwenye taasisi moja ya elimu ya juu nimeitwa kazini nahitaji kufanya maamuzi ya kurudi nyumbani TZ moja kwa moja kuja kureport kazini ila sijui ngazi hiyo ya mshahara ni TSh ngapi. Naogopa nisiruke majivu nikakanyaga moto. Ushauri pia utanisaidia. Ahsante.
 
Back
Top Bottom