watu wanaofahamu hizo scale hawatoi majibu..
nimeona scale za zamani tu mkuuIngia kwenye jukwaa la kazi na tenda ipo thread inayozungumzia mishahara mkuu
itakuwa ajira mpya huyu!Unatarajia kupandishwa daraja??.
ajira mpyaUnatarajia kupandishwa daraja??.
nashukuru sana kamanda wangu.TGS F ni tshs 1,255,000/=