Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ndugu wadau naombeni mnijuze kiwango cha mishahara kwa ngazi zilizopo hapo juu. Mamlaka ya bandari kwa anaefahamu
 
Mishahara ya VETA scale zake za VETS 1 na kuendelea zina range kiasi gani mpaka kiasi gani?
 
Wakuu hasa wadau wa tanapa kwa anaejua TANAPA 01 ni sawa na Tsh ngapi!!!!??????
 
Wasalamu!

Naomba kujuzwa mtu anaepokea PGSS 7 NIT (Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji) ni sawa ni Tsh ngapi?
Asanteni Sana!
 
Wakuu tgs c bado upo hivi hiv 520000 haujaongezeka kulingana na hali ya sasa?
 
Back
Top Bottom