Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============

July 2014 UPDATE:




Nyongeza imekuwa tabu....

Mwaka hadi mwaka....mbona enzi za msoga maisha ya mfanyakazi hayakuwa magumu hivi?
 
Mshahara wa mwalimu wa degree masomo ya sayansi anaenza kazi ni shilling ngap?

Kuna She yupo privet school take home ni 880K
Free house (vyumba viwili choo jiko sebule)
Free umeme (haukatiki)
Free water(hayakatiki)
Free food (kwake yeye muajiriwa)
Free shamba (heka 5 za mpunga)
Anataka aende government
 
Aende tu govt for job security ila hapo prvt anaishi vzr.
 
Sasa hy 880k anaifanyia nn kama kila kitu anafanyiwa na hy shule.?

Atulie hapo hapo huku akihifadhi hy pesa ili siku ya Bahati mbaya ikimtokea kuondolewa hapo shuleni apate pa kuanzia.
 
Mwambie aache ujinga
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…