Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Wakiongeza hiyo naacha kazi Tz hatujazoea,sitaki kufa kwa presha.
 
Join Date : 22nd June 2014
Posts : 11

Rep Power : 305
Likes Received1
Likes Given
0

Hii profile ni yako?

Sasa mkuu, ulitegemea profile hii iwe ya nani? Kama umenyang'anywa muke na bado uko rijali, si utatafuta muke ingine. Au unasemaje Askia Mohamed?
 
TGS A1 346,000
TGS B1 394.000
TGS C1 582,500
TGS D1 639,000
TGS E1 819,000
TGS F1 1,053,000
TGS G1 1,370,000
TGS H1 1,784,000
TGS I1 2,465,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka Alhamis wizaran. Inaanza Julai 2014. usikope

Tunaomba uweke hapa kutoa hisia na matamanio ya kila mmoja.
 
Tunaomba uweke hapa kutoa hisia na matamanio ya kila mmoja.

niwekenini?mishahara ndio hyo ya walim taarifa imepanda kwa asilimia 40% ila ni kima cha xhini inavyoongezeka kutokakma cha chini asilimia inapungua.
 
Jamani nakuja mbele yenu naomba nitumiwe kopi ya waraka wa mishahara mipya ukitoka utumishi.Sijui unayepi mapya!

Natanguliza shukrani.

Waraka wa masihara mapya. Tanzania hakuna mshahara ni usanii tu!
 
Hii habari ya koungezeka kwa 40% nimeisikia sana tu ila jamani waifanye kweli watu tujivinjari basi.
 
Km viwango hivi ni vya kweli basi walimu bado wana safari ndefu sana ya kuyafikia maisha bora.
 
Huu

Mishahara mipya july(ongezeko).
TGTS A1 546,000
TGTS B1 694.000
TGTS C1 782,500
TGTS D1 839,000
TGTS E1 1,219,000
TGTS F1 2,553,000
TGTS G1 2,970,000
TGTS H1 3,284,000
TGTS I1 3,665,000, Hii ndio mishahara mipya iliyotokana na mjadala wa miaka karibu 5 kat ya CWT NA SERIKALI Inaanza kutumika Julai,2014. By MWL OLUOCH -

uongo kabisa

Haijatokeaga, mishahara kama hiyo kwa Tz
walimu sijaonaga.... lakini tuone kama
hiyo salary itakuwaga...
 
hahahahahaha!vizuri sana,huyu mtu kajitahidi kudanganya
 
TGS A1 346,000
TGS B1 394.000
TGS C1 582,500
TGS D1 639,000
TGS E1 819,000
TGS F1 1,053,000
TGS G1 1,370,000
TGS H1 1,784,000
TGS I1 2,465,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka Alhamis wizaran. Inaanza Julai 2014. Asante

Hivi TGS I1=2,465,000 kwa serikalini unaipata ukiwa na umri gani vile...???? naomba nikumbushe kama nimesahau vile mzee mwenzangu...
 
Mishahara mipya july(ongezeko).
TGTS A1 546,000
TGTS B1 694.000
TGTS C1 782,500
TGTS D1 839,000
TGTS E1 1,219,000
TGTS F1 2,553,000
TGTS G1 2,970,000
TGTS H1 3,284,000
TGTS I1 3,665,000, Hii ndio mishahara mipya iliyotokana na mjadala wa miaka karibu 5 kat ya CWT NA SERIKALI Inaanza kutumika Julai,2014. By MWL OLUOCH - KKM-CWT.SASA WALIMU KAJENGE ACHENI KUPANGSHA VILABUN. HILI LITHIBITISHE. Naomba maoni yako mzee

Iyo umeuwasha mkuu, uje upost baada ya miaka mi5 ivi
 
TGS A1 346,000
TGS B1 394.000
TGS C1 582,500
TGS D1 639,000
TGS E1 819,000
TGS F1 1,053,000
TGS G1 1,370,000
TGS H1 1,784,000
TGS I1 2,465,000.

Hiyo ndiyo mishahara mipya ambayo waraka umetoka Alhamis wizaran. Inaanza Julai 2014. Asante

mkuu, una hakika na unachosema? is this information real?
 
Sijaelewa kwanini watu wanataka kujua mishahara mipya kabla ya wakati? Au wanataka kuanza kupanga bajeti? Je,ikitokea viwango hivi ni vya uongo utaenda hazina kudai? Tusubirie siku itafika.
 
Back
Top Bottom