The King of Jews
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 478
- 108
Naomba kuuliza kwa architects wakiajiliwa na serikali wanaanza na ngazi ipi ya mshahara na ni sawa na kiasi gani?
naomba mnijuze
naomba mnijuze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni tgs enaomba kuuliza kwa architects wakiajiliwa na serikali wanaanza na ngazi ipi ya mshahara na ni sawa na kiasi gani?
Naomba mnijuze
ni tgs e
ni tgs e
kweli siku hizi elimu haina mpango kabisa, yaani na digirii yako unataka kuwa polish, enzi zetu polisi ni darasa la saba tena waliofeli. Wanataka pilosi wenye digirii ya uchumi ili waende kulinda benki, we jaribu bahati yakoChuo kikuu, degree ya uchumi.
mhmhm sasa ukilinganisha na wengine kuna utofauti kweli au? mfano wale wahasibu, administatrators n.k ambao nao ni graduate/bachelor ? na wao si wanaanza na TGSD1 instead of TGTSD1, kifupi mie naona ngoma droo coz hata nao rate ni hiyo hiyo sema tu watu tuna kasumba ya kuwaponda walimu au kazi ya ualimu but salary level is almost the same, and sometimes walimu wana opportunity ya kutumia brain zao kuongeza kipato tofauti na wafanyakazi wa kawaida ambao toka saa 2 asubuhi hadi saa 9 na nusu yupo tu ofisini na dili hazisomi at the end of the month hana source nyingine zaidi ya kusubiri semina au workshop
hiviii wanavyosema tgs d1, 2, 3, 4,5n.k wanamaanisha nini hizo series 1.... Na kuendelea zina maana gani..ndugu yangu amepata kazi serekalini kaanbiwa mshahara ni tgs d nataka kumshauri aende huko atoke private..sasa hiyo c nayo naona ina mishahara tofauttofaut nashindwa kumuelekeza msaada tafadhali
Basic salary TShs. 992,000/=. This is a salary for Instructor II
Sent from my BlackBerry 9105 using JamiiForums
Ni mshahara wa Tshs 282,595.50