Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Nauliza wadau ktk mwaka huu wa fedha 2015/16 ngazi ya mshahara wa TGS E analipwa kiasi gani?
 
Hivi mshahara wa PUTS 2-3 ni shilingi ngapi?
anayejua naomba msaada tafadhali. Kuna kazi nataka kuomba lakini sijui namba za mshahara zaidi ya hizo herufi hapo juu.
 
tofauti ya PHTS na PUTS na viwango vyake kwa sasa ni ngapi? Mfano PHTS 8-9 ni tsh ngapi basic na PUTS 2 ni tsh ngapi?
 
Asanten wadau, mim nimemalza chuo nimesoma Taxation.. Naomba mnifafanulia hapo juu coz cjaelewa mnaposema TGOS nk
 
Mshahara wa polisi ukiwa na degree yeyote ile ni sh.455200 basic,na take home ni sh.359000,pia wanpata posho ya sh.100,000 katikati ya mwezi...hapo ni kabla hajapandishwa cheo chochote.

Na mshahara wa askari wa jeshi la wananchi (jwt) with an undergraduate degree upoje??
 
Back
Top Bottom