Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lapf ni kuanzia 500,000 hadi 5m hakuna hela wanajishaua tu. mi nin rafiki yangu hakuna hela
Yes veta zipo scale zao zinaitwa VETS ila mishahara hovyo kabisa
Nauliza wadau ktk mwaka huu wa fedha 2015/16 ngazi ya mshahara wa TGS E analipwa kiasi gani?
Mshahara wa polisi ukiwa na degree yeyote ile ni sh.455200 basic,na take home ni sh.359000,pia wanpata posho ya sh.100,000 katikati ya mwezi...hapo ni kabla hajapandishwa cheo chochote.
Huyu wa TGS E ni level gani ya elimu kama TGS D ni graduate