Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Plz naomba kujua mishahara ya Tanesco level ya Diploma na Degree kwa non engineers
 
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:

vipi kuhusu TGTS?
 
nani anajua nyongeza ya mwezi wa saba 2017?
-000,0000/=
negative.

ila subiri huwenda ikawa sapraizi(kuongeza au kuto kuongeza zote ni sapraizi) wafanyakazi wakabaki vinywa wazi
 
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:
HIVI TGSS 8 WA KILIMO NI NGAPI WAKUU
 
mwenyew kujua tgss 2 anipe mwanga nimeona hicho kitu kwenye tangazo la kazi muhas
 
mtu mwenye diploma na mwenye degree hulipwa kiasi gani kwenye mifuko ya jamii,NHIF na TPDC?
 
Wanajamii forum naomba kuulizia, eti PGSS 2 ni shilingi ngap za kitanzania?
Hiyo PGSS 2 ni salary scale.
 
Back
Top Bottom