Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Naomba kufahamshwa,

Salary scale ya PGSS ndo hiyo hiyo PSS G au n tofauti.?
 
Kada gani? Nafahamu Dip anakula 805k kwa hiyo scale PGSS ambayo ni 4.1 na sio hiyo 6 pia hiyo 6 haishuki 1.2m japo sina exactly amount figures, na kumbuka ni Gross sio Take home.
Mkuu
PGSS inafanana na PSS G au ni tofauti.?
 
Kuna ngazi za,mishahara za parastal organizations ,PGSS, Hazipo humu,kama vile SIDO,VETA,VYUO VIKUU,TANESCO N.K,wenye kuzijua wazitupitie zote tena zile current kabisa
 
Kuna ngazi za,mishahara za parastal organizations ,PGSS, Hazipo humu,kama vile SIDO,VETA,VYUO VIKUU,TANESCO N.K,wenye kuzijua wazitupitie zote tena zile current kabisa
Tanesco wanatumia TCG zinaanza E1 hadi C ambazo huwa seniors
SIDO wako katika PGSS kwa sasa.
 
Anayefahamu mshahara wa Parastal Government Salary Scale 5 (PGSS 5)kwenye shirika la Utangazaji Tanzania TBS ni kiasi gani??

Nawasilisha
 
Nadhani ulinganifu Na utofauti Ni kwa fani Na fani wakuu Kuna fani mishahara n kichef chef......lkn ukiajiriwa serikalini ujue umekwepa ushindani ktk kazi n ukicheza unalemaa,kujitolea kwingi,siasa kuliko logic,.....na ushamba mwing huku hutakiw kuwa tajir yaaan n balaaa

Mkuu project Officer kwa vyuo Vikuu ama planning Officer mara nyingi wanalipaje?
 
Back
Top Bottom