OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Inanoga kweli.Nyama yake tamu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inanoga kweli.Nyama yake tamu sana
Ndio ujue umeme mdogo kichwani!Khee! We sema eti kichwa hakipo sawa. Lakini huku mashambani, shamba la mahindi, Wakiingia shambani kwako ujue hutavuna hata mabua - wanafyagia mwanzo mwisho halafu wakishiba wanalala hapo hapo kana kwamba wanalinda walichokifanya.
😂😂😂😂 Au chizi!Huyu warthog ni kiazi sana,kuna clip moja alikua amekamatwa na chui, basi simba akawa ametokea akaanza kupigana na chui ili amnyang'anye kitoweo. Sasa ikabidi chui amuachie warthog wakati anapigana na simba, ajabu sasa warthog alivyoachiliwa na chui badala ya kukimbia eti akaingilia ugomvi akaanza kumtandika vichwa chui eti anamsaidia simba. Chui ikabidi akimbie halafu simba akamkamata warthog akamtafuna.
Huyo mnyama anapenda attention kinoma.Huyu jamaa kwanza ni mtukutu pili asipo toka nduki ajihisi aman kabisa ndio maana clip nyingi zinamuonesha jamaa yeye ndie mkorofi yani lazima atafute sababu za kupiga kibati hapendi kuona wenzie wametulia
Kuna clip nimeona simba alikua sijui anamkimbiza sungura yule jamaa akaona usinitanie katoka mbio kawa over take simba na sungura 😂😂😂wake mpaka nikajiuliza sasa ilikua na umuhimu gani kufanya vile.
Hahahahahahahaahaha mkuu umeua nimecheka sana..Sawa jomba. Nimeacha ubishi.
Nyama ya khanga na ya kuku zinafanana, kwa hiyo khanga ni kuku pori.
Chimpanzee anafanana na binadamu, kwa hiyo chimpanzee ni binadamu pori.
Mende akichomwa moto hutoa harufu kama ya kumbikumbi, basi kumbikumbi ni mende wa kwenye kichuguu
Nyani hatari sana. Anakukusanya ngozi pamoja kama mtu anavyokamua nguo halafu ndio anang'ata. Anakuochia bonge moja la jeraha.Nahisi hivyo mara zote walikuwa na kundi la mbwa na mikuki.
Niliona nyani kamwaga utumbo wa mbwa kama utani asee zile kucha na meno ni hatari sana akiwa anatetea uhai wake.
Hatari sanaNyani hatari sana. Anakukusanya ngozi pamoja kama mtu anavyokamua nguo halafu ndio anang'ata. Anakuochia bonge moja la jeraha.
Daaah jamaa ana speed sanaHuyo ndio ile jamii ya nguruwe walioingiwa na mapepo baada ya kutolewa kwa mtu na Yesu.
Ngiri toka hapo amekuwa mnyama wa kutroti tu, hakuna kutembea. Pia jambo la kawaida sana kumta porini akijivinjari peke yake.
SahihiImekua kawaida kusikia vijana mtaani wanasema mwendo wa ngiri mkia juu several times...
Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
Lakini si ndo uhalisia wenyeweNyuzi za wanyama jf zinachekesha kweli😀
Sasa Hivi ni kawaida sana kusikia chap chap mwendo wa ngiri mkia juuThis is laughable😂😂😂! Huyu anapenda kukimbizwa ila akigeuka utaimba hallelujah! Speed yake huyu ni sawasawa na RPG(Rocket propelled grenade)
Watu Kwa chumviNgiri ni mnyama ambae muda wote amevuta bangi.
Nadhani shimoni kwakwe (geto ) akilala ni ushuzi maana Kwa pilikapilika alizo nazo sio mchezoOyaa huyo mwamba mda mwingi anautumia ktk vurugu, vitimbwi na purukushan hanaga mda wa kupumzka
Wanasema anasahau haraka sana kupita wanyama wote huenda aliwasahau kuwa Hawa wote ni waganga njaa tu hakuna msaada wowoteHuyu warthog ni kiazi sana,kuna clip moja alikua amekamatwa na chui, basi simba akawa ametokea akaanza kupigana na chui ili amnyang'anye kitoweo. Sasa ikabidi chui amuachie warthog wakati anapigana na simba, ajabu sasa warthog alivyoachiliwa na chui badala ya kukimbia eti akaingilia ugomvi akaanza kumtandika vichwa chui eti anamsaidia simba. Chui ikabidi akimbie halafu simba akamkamata warthog akamtafuna.