Sema hapendi show off eti ila yeye mkaliKiba yupo overrated sana isingekuwa huruma ya waTanzania nadhani angeshapotea. Kuna wasanii wakali sana walitoka kipindi kiba anatoka ila leo tushawasahau. Muda utaongea.
Biti znamwangusha sana,,
nawewe unamuonea huruma!!!Kiba yupo overrated sana isingekuwa huruma ya waTanzania nadhani angeshapotea. Kuna wasanii wakali sana walitoka kipindi kiba anatoka ila leo tushawasahau. Muda utaongea.
WoyoooooooooooooooooooooooooooooooohWeuweeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kabisa beat ya kawaida sana yaani bora ile ngoma ya msanii wake ndo ingekua yakee. Ila tatizo ni management yake ya sasa yule dada halupaswa kua manager bora seven kuna siku alinichekesha sana eti anagurahia nyimbo kupata comments nyingiii yaaani[emoji23][emoji23]