Nguvu kubwa imetumika kuwapiga Houth na hakuna kilichobdilika. Vita enzi hizi ni ngumu kushinda

Sioni hoja zako zaidi kusapot wale upinde wa Tel aviv tu...Kijana usilete ushabiki wa kijinga maana sioni hoja zako zaidi ya kushabikia upinde.

Vipi kuhusu South Africa.....Utasemaje? Ndio Maana nasema akili zako fupi?

Lesbian, gay, bisexual, and transgender (LGBT) people in South Africa have the same legal rights as non-LGBT people.[1][2] South Africa has a complex and diverse history regarding the human rights of LGBT people. The legal and social status of between 400,000–over 2 million lesbian, gay, bisexual, transgender and intersex South Africans has been influenced by a combination of traditional South African morals, colonialism, and the lingering effects of apartheid and the human rights movement that contributed to its abolition.[3]
 
😅😅Hivi unaelewa you miss the point...Kila jamii ina watu wa hovyo ila nyie mna kiongozi anawakilisha dini yenu katika uislamu hakuna kiongozi mkuu hapa duniani kwa sasa.

Sasa kiongozi wenu ambaye ni papa kasema hivyo na nyie mnasapot upinde kweny dini yenu moja kwa moja , ingekuwa mti mmoja mmoja haina tatizo ila kiongozi mkubwa ambaye ndio kama Mungu wenu pale vatican .😅
 
Hivi una akili wewe? Who told you kiongozi wangu ni Papa? Please stop profiling people! Kwa hiyo mtu akiwa kinyume na Hamas/Houthi ni Mkatoliki! Hivi wewe ni darasa la saba! Ufahamu wako uko wapi hasa?

Mimi mpaka sasa hivi sijui wewe ni dini gani! Hatujazungumzia kabisa dini, ndio unaanza kuiingiza wewe! Please I'm not a Roman Catholic, dont profile me using the religion, you will be baffled!

Kwa taarifa yako tu, nimeona Waislamu Wakiipinga Hamas, Nimeona Wakristo Waki support Hamas! Nimeona LGBTQ community waki support Hamas, angalia maandamano Europe, US Utasemaje?

In short ufahamu wako ni finyu!
 
Uashaanga kukana hapa 😅😅😅yule ndio Mungu wako maana dinu yako imeanzia Italy.
 
Mbon huelewi ninachosema!?
Umesema huwezi kubishana na Upinde....Angalia hawa.....
1708178304766.png
 
Uashaanga kukana hapa 😅😅😅yule ndio Mungu wako maana dinu yako imeanzia Italy.
Uashaanga kukana hapa 😅😅😅yule ndio Mungu wako maana dinu yako imeanzia Italy.
Accumen:

Njoo na hoja.....usiandikie ushabiki...! Umeleta Hoja ya upinde....Umeshindwa kabisa kukana support ya Nchi ya wana Upinde ilivyosaidia Hamas......Hujui kabisa dini yangu, naona unatapata tu!
 
Wewee unasapot upinde unajua makao makuu ya mashoga middle east?
 
😅😅Hivi unaelewa you miss the point...Kila jamii ina watu wa hovyo ila nyie mna kiongozi anawakilisha dini yenu katika uislamu hakuna kiongozi mkuu hapa duniani kwa sasa.

Sasa kiongozi wenu ambaye ni papa kasema hivyo na nyie mnasapot upinde kweny dini yenu moja kwa moja , ingekuwa mti mmoja mmoja haina tatizo ila kiongozi mkubwa ambaye ndio kama Mungu wenu pale vatican .😅

Ufahamu wako ni mfupi, unaabisha Jamii forum community, Hoja ilikuwa ni Houthi, ukashindwa kutetea hoja zako! Ukarukia dini, ukarukia mimi ni Upinde......Mara mimi ni mkatoliki! Nimejaribu kukuonyesha Vita vya Hamas ni Israel ambavyo vimegawanya na kupata support pande zote za jamii duniani! Lakini ni vigumu kukusaidia kufikiri!
 
Back
Top Bottom