Nguvu nilizowekeza kwenye ujana wangu nakula Matunda yake sasa

Kabisa, na mimi nilizingatia pia nisi nenepe

Maana hamnaga unene wenye afya na namshukuru Mungu afya yangu ipo vizuri kabisa ila kuumwa kwa hapa na pale kumo pia

Shukran mkuu πŸ‘
Hakika uliupiga mwingi mkuu hongera Sana. Huwa nakaa natafakari maisha ya uzee kiukweli huwa sipati picha halisi yatakuaje Kama nitafika huko ila nikiwaza nguvu zitapungua nachoka kabisa.
 
Hakika uliupiga mwingi mkuu hongera Sana. Huwa nakaa natafakari maisha ya uzee kiukweli huwa sipati picha halisi yatakuaje Kama nitafika huko ila nikiwaza nguvu zitapungua nachoka kabisa.
Kuna wazee wako fiti sana mbona we jali afya yako tu, utaona utakavyo ufurahia uzee wako

Anza sasa hivi kujali afya yako hutojutia kabisa mkuu,
 
Huwezi jua A to Z ya mtu hata kama niseme niongeze maneno

Ila vitu vya muhimu nimeweka mbona
Sio kuhusu kukujua in person bali ungesema mbinu ulizotimia, changamoto ulizopata, jinsi ulivyozitatua mpaka kifika ulipo. NΓ dhani hapo ungesaidia wengi.

Ni mawazo yangu mzee wangu. Pia samahani kama nimekukwaza kwa namna yoyote ile.
 
@KIBABU_53 Ombea wazee wenzio nao maana wazee wengi wan panic attack kwenye kila kitu
 
Sio kuhusu kukujua in person bali ungesema mbinu ulizotimia, changamoto ulizopata, jinsi ulivyozitatua mpaka kifika ulipo. NΓ dhani hapo ungesaidia wengi.

Ni mawazo yangu mzee wangu. Pia samahani kama nimekukwaza kwa namna yoyote ile.
Usihofu hujanikwaza hata

Changamoto kuu niliyoipata ni kupata ule ujasiri wa uthubutu basi, kabla ya hapo nilikuwa muoga sana ila ile courage ndo ilikuwa msaada wangu

Nilianza na appartment kwanza mkuu, na savings

Ila 2016 nilivyostaafu nilikuwa na muda mwingi ndo nikajiingiza kwenye (kilimo cha mboga, ufugaji,)

Hapa nilitumia miaka 3 mpaka kuwa stable changamoto kuu ni usimamizi bora, na inabidi uwe na elimu nzuri kuhusu hili suala,

Sema haikunipa shida maana ilikuwa small scale hivyo ilikuwa rahisi ku menage
 
Sasa Hapo umeshauri nini?? Zaidi ya bla bla nyiiingi mara ukalipwa vizuri mara hiki hujashauri lolote.
 
Mawazo yako ni mazuri, unaweza kuwa na mawazo mazuri lakini huna mtaji,huna KAZI nzuri, wewe ulibahatika kupata KAZI nzuri yenye mshahara mnono mshukuru Mungu
Ni kweli kabisa, ila usikate tamaa

Kwenye vizazi vya sahivi nadhani ni bora utumie akili nyingi kuliko nguvu, sisi enzi zetu ukitumia nguvu nyingi unatoboa kirahisi tu
 
We dogo JF umeijua juzi tu then ubishi Mwingi .
Cheki lilivyo pumbavu unaambiwa uonyeshe unasema if umejua juzi mbona umejaa kamasi wewe nimekuambia nionyeshe hizo comment. Hayupo mtu aliye busy kutafuta maisha akashinda mitandaoni angalia hata waanzilishi wa jf. Uache upumbavu nikajua ushaacha ujinga wako kumbe bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…