Nguvu ya JamiiAfrica ni usiri, kama utaondolewa utapunguza ufanisi wake

Kama kwa namna yoyote ile u-anonymity huu utaondolewa kwa kuleta mfumo wa kuweka jina halisi, picha, eneo mhusika alipo n.k wengi nadhani tutaikimbia JamiiAfrica ama italazimika tujipange upya!
Maiti za Whistle blowers zitakkuwa zikiokotwa asubuhi na jioni.
 
Kama Maxence Melo aliweza kumshinda Dikteta Magufuli kwenye kesi zaidi ya 3 za kutaka kujua IDs za watu au kuhamishia servers za JF kutoka Ulaya kuja hapa Tz, sidhani kama kuna mtu mwingine anaweza kufanikiwa. Jf forever
 
Amina mkuu.
 
Sio kuna sheria inayotaka server siwe tz
 
Hivi Hawa kina Melo wana access ya kujua ID fulani inatumia namba gani?
 
mimi ni credible individual ever, nationally and internationally, ni champion wa sustainable development in technology,

so,
siana pakwendra, ispokua nitakua ndrani ndrani kabisa ya mabadiliko hayo muhimu sana JF,
wafahamishe na wengine
Wakikataza fake ID's utakuja kwa jina gani?
 
Mwaka 2006 ilikuwa inaitwa Jambo Forum.
 
Mshangazi dot com huyu huyu ambaye jana kashauri members wote wawe verified?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…