Ndo maana mabadiliko kila uchwao, ujue Remote iko kazini, ni kubonya tyuu chwii,Sasa hv ataambiwa, tumekupa cheo, tunakulipa mshahara, Halafu utupinge? Njoo hapa tubane mbupu hizo vzr π
Wana expand reach, utokw kuwa local social media, to african wiseKama jina limebadilika kuwa JamiiAfrica ni dhahiri kuna jambo laja
Ifikapo mwaka 2050 itakuwa inaitwa Jamii dunia.Kweli [emoji817]
Asante kwa kutukumbusha mkuu, so safari ilikuwa hivi:
1. JamboForum
2. JamiiForum
3. JamiiAfrica
π€£π€£π€£π€£ The funny side of this beautiful fraternity. πlabda heche na huyo sarungi ndio watu waoga na wazushi wa kujificha kwenye ids fake, na maisha fake,
but myself hata ukija jimboni kwangu utanipata kirahisi na tena kusaidiwa kwa haraka sana na kila mwananchi jimboni ukitaja tu unamuhitaji mh.@Tlaatlaah
Acha watu waringe na fake id zao huku mada zao ni mapenzi na simba na Yanga tuu, ila wakigusa pasigusika watadakwa vzr tuuNdo maana mabadiliko kila uchwao, ujue Remote iko kazini, ni kubonya tyuu chwii,
πππππ
Nakaziaa hapo.Acha watu waringe na fake id zao huku mada zao ni mapenzi na simba na Yanga tuu, ila wakigusa pasigusika watadakwa vzr tuu
in fact,nadhani ukiwa na ID unakuwa huru zaidi kama kina Erythrocyte | Tlaatlaah | Salary Slip | ChoiceVariable et al
Hahaha π basi sawa, msalimie Luka mwashambwa.
Hahaha ππ€£Hahahahah nimecheka sana π itaitwa JamiiGalaxy
ni hatari kwa kweli, watu watakuwa wananyakwa usiku na mchana, dola haitapenda maslahi yake yatishiwe na mtu yeyote. Wadamdaka kirahisiMaiti za Whistle blowers zitakkuwa zikiokotwa asubuhi na jioni.
Wengine tunatumia tu hatumjui hata Melo mwenyewe ππ€£π€£π€£Hua siwaelew mnaosema JF Kuna usiri, ety kisa kuna fake ID, kwan mitandao mingine hakuna fake ID?
N bc tuu Melo hajabanwa mbupu
uko sahihii gentlemanSawa mkuu mitano tena kwa JamiiAfrica π
Itatubidi tufungue platform nyingine.ni hatari kwa kweli, watu watakuwa wananyakwa usiku na mchana, dola haitapenda maslahi yake yatishiwe na mtu yeyote. Wadamdaka kirahisi
Ila yeye ndio njuka zaidi kuliko mimiπ€Hapo kwenye joining naona mmezidiana siku chache sana.
Nusratt huu wote wako π
Ww ndo humjuiWengine tunatumia tu hatumjui hata Melo mwenyewe ππ€£π€£π€£