Nguvu ya no reforms no election na ushindi wake mitandaoni dhidi ya CCM, ni picha halisi ya jinsi CCM huiba kura!

Kutegemea mitandao kushinda uchaguzi kwenye taifa lililo na watu zaidi ya milioni sitini na watu wasiozidi milioni tano mtandaoni ni ndoto za alinacha.
 
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅
Mawaziri wake tu ndio watampigia hizo kura, na wengine wengi wapo huku

No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
 
Soote tutapiga kura

October TUNATIKI ✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
October TUNATIKI ✅✅✅✅✅✅✅✅✅
 
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
Huu ujinga umeanza wiki hii, wakati daftari la wapiga kura limeboreshwa mwezi March Mwaka huu.

Kwa taarifa ni kwamba idadi ya wapiga kura mwaka huu ni kubwa kuliko ile ya mwaka 2020.
 
Huu ujinga umeanza wiki hii, wakati daftari la wapiga kura limeboreshwa mwezi March Mwaka huu.

Kwa taarifa ni kwamba idadi ya wapiga kura mwaka huu ni kubwa kuliko ile ya mwaka 2020.
Idadi yao kweli ni kubwa,

Swali la msingi, watapiga kura?

No reforms no election
 
Wanasemaga kura haziko mitandaoni
 
Kutegemea mitandao kushinda uchaguzi kwenye taifa lililo na watu zaidi ya milioni sitini na watu wasiozidi milioni tano mtandaoni ni ndoto za alinacha.
Ndoto ni kuwategemea watumishi wa umma wanaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya CCM; na wananchama wenyewe wa chama hicho wanaosombwa ndani ya malori kupelekwa kwenye mikutano ya viongozi wao.

Ndoto, ni kudhani kwamba waTanzania wenye sifa ya kupiga kura watampigia Samia Suluhu Hassan aendelee kubaki madarakani.

Ndoto ni kufikiri kwamba wanaCCM wanaunga mkono ushetani unaofanywa na Mwenyekiti wa Chama chaoakishirikiana na Genge linalonufaika chini ya utawala wake; kwa kulitumia jina la chama kutenda maovu ya kuwateka, kuwapoteza na kuwaua waTanzania wenzao.

Ndoto, ni kuwa Samia Suluhu Hassan na Genge lake wataweza kutumia nguvu kwa kumbakisha madarakani, huku wakimwaga damu ya waTanzania.

Ndoto ni kutokuwa na akili za kutambua wanakoelekea waTanzania katika kulinusuru taifa lao toka kwa shetani huyu mwanamke na Genge lake, ambao wamedhamiria kuvuruga umoja wa waTanzania na kugawa raslimali za taifa lao bila ya manufaa kwao.

Ndoto ni kung'ang'ania uyaonayo ndani ya mitandao na kufumbia macho yanayotokea kwenye mikutano ya CHADEMA huko kwenye kata mbalimbali nchini.

Ndoto ni kuganda kwenye fikra za kizamani kudhani kwamba uchaguzi ukifanyika mtaiba kura kama mlivyo zoea kufanya miaka yote. Safari hii, huo uchafuzi haupo kabisa.

Ndoto ni kubaki kwenye fikra za kudhani vyombo vya dola mtaendelea kuvitumia kufanya uchafu mnaotaka nyinyi na kuwabakisha madarakani

Hii Haitakuwa ndto tena. Hili ni JINAMIZI. ZINDUKA!
 
Huu ujinga umeanza wiki hii, wakati daftari la wapiga kura limeboreshwa mwezi March Mwaka huu.

Kwa taarifa ni kwamba idadi ya wapiga kura mwaka huu ni kubwa kuliko ile ya mwaka 2020.
Kwa hiyoi!
Bado unajidanganya kwamba hao kwenye daftari wanampenda sana Samia Suluhu Hassan?

Ingekuwa hivyo, nyinyi askari wake watenda uovu msingekuwa mnahangaika kama mnavyofanya sasa.
Hivi humtazami vizuri kuona jinsi alivyo ingiwa na hofu kubwa sana?

Safari hii kutatokea ambayo hayajawahi kutokea katika historia ya nchi hii, na Samia Suluhu Hassan ataingia kwenye historia hiyo chafu kabisa ya taifa letu.

NO REFORM, NO ELECTION.

Samia Suluhu Hassan is Doomed!
 
Kwa nguvu iliyopo mitandaon, kinaipa nguvu Chadema na kuwaamisha Watanzania kwa ujumla kwamba, ni kweli CCM hutumia janja janja kwenye chaguzi zote nchini
Siyo mitandaoni tu angalia mikutano ya kina Heche watu wanavyo vibe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…