Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Hawezi kuujua huo ukweli uliouandika, wengi wao ni vijana wadogo wanadanganywa na hizi harakati za mitandaoni. Uzoefu wao wa kwenye siasa za Tanzania ni mdogo.Unachotakiwa kujua ni kuwa wapiga kura wengi hawako mitandaoni, na pia wapiga kura wengi hawawazi mengi kama wewe unayowaza. Pia wengi wa mtandaoni hawajajiandikisha
"Nalifanyia Kazi" (Samia).Uchaguzi upo October 2025, wewe endelea kupoteza muda kwa kujifanya mzalendo wa nyuma ya keyboard.
Samia anaonyesha uzalendo kwa vitendo na kazi yake kila sehemu ambako ilani ya CCM inatekelezwa kwa vitendo watampigia kura ya kukubali kile anachokifanya muda huu.
Okay hongera mbuzi mwenzangu, uliyeamua kuishi na maumivu ya kile kinachotekelezwa kwa vitendo na Rais SSH."Nalifanyia Kazi" (Samia).
Mbuzi kama wewe unayetegemea makombo kukuwezesha kuishi unaposikia taarifa kama hiyo unafikiria tumbo lako tu na wala huna habari yoyote na ufanisi wa Tanzania.
Nilisha kudharau muda kitambo sana!
Hao waTanzania wanaojitokeza kwenye mikutano ya CHADEMA nao ni watu wa mtandaoani?Hawezi kuujua huo ukweli uliouandika, wengi wao ni vijana wadogo wanadanganywa na hizi harakati za mitandaoni. Uzoefu wao wa kwenye siasa za Tanzania ni mdogo.
Mkuu hao CHADEMA wamepigwa stop kesi ipo mahakamani. Kesi ikimalizika wanaendelea na siasa kama kawaida.Hao waTanzania wanaojitokeza kwenye mikutano ya CHADEMA nao ni watu wa mtandaoani?
Kwa nini Samia anaogopa hawa watu wakienda kupiga kura kwa uhuru wao na kutumia HAKI yao kumchagua aendelee kutawala nchi hii?
Hili huwezi kulijibu.
Wewe ni MAITI tu; unayekuja hapa kupotezea watu muda wao.Okay hongera mbuzi mwenzangu, uliyeamua kuishi na maumivu ya kile kinachotekelezwa kwa vitendo na Rais SSH.
Mbuzi mwenzangu ikifika Oktoba kapige kura popote ulipo.
Hiyo "stop" unadhani ndiyo salama ya Samia?Mkuu hao CHADEMA wamepigwa stop kesi ipo mahakamani. Kesi ikimalizika wanaendelea na siasa kama kawaida.
Hao wasikusumbue kichwa, ni masuala yale yale ya nyomi zilizojaa mwaka 2015 wakati wa mikutano ya Lowassa.
Mpuuzi wewe ndio mlichobakia nacho hicho, dua za kuku hazimpati mwewe.Hiyo "stop" unadhani ndiyo salama ya Samia?
Huyo mwamnamke kafanya makosa makubwa kuwa na maiti wa aina yako karibu naye. Mmempoteza na hataishi tena maisha ya amani.
October tunatiki tu jina la Samia.Wewe ni MAITI tu; unayekuja hapa kupotezea watu muda wao.
Mwenzako Tlaatlaah kabaki kama maiti lililokaushwa tu la maonyesho. Na wewe sasa upo kwenye tanuru ukauke na kuendelea kubandika takataka tu humu JF.
Sijawahi kusikia maiti nao huota ndoto aina ya hii hapa!October tunatiki tu jina la Samia.
Kapige kura mkuu punguza nongwa.Sijawahi kusikia maiti nao huota ndoto aina ya hii hapa!
Mmeyataka wenyewe.Kapige kura mkuu punguza nongwa.
October 2025 tunatiki jina la Samia.Mmeyataka wenyewe.
Maiti bado upo?October 2025 tunatiki jina la Samia.
Kapige kura 2025 achana na huo utoto.Maiti bado upo?
Siwezi kuhimizwa na maitiKapige kura 2025 achana na huo utoto.