CHADEMA wasingempokea Lowasa Leo wangekuwa hivi
Sijui tunahitaji mafunzo mangapi ya aina hii ili tuamke..
Inawezekana "tulishakufa" siku nyingi lakini sisi tunajiona bado tupo hai, kama tunashindwa kujifunza kwa majirani zetu hapo Kenya, hivi inawezekana kweli tukaenda kujifunza Senegal?
Naona hili letu ni taifa teule la wanakondoo.
Mimi Nina mchango kuliko kelele zako zisizo na msingi..
Nimekupa mfano hapo kwamba kumuandamania mwanasiasa ni upuuzi, Ufaransa watu Huwa wanaandamana Serikali ilipitisha au kutaka kupitisha Sheria za hovyo nk.
Urundi na Mimi wapi na wapi? Sipingi harakati zenu za Katiba Mpya ila mm siwezi kuwa ngazi maana has nothing to do with my life.Nauona mchango wako kwenye post #21 kwenye Uzi huu:
Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu
Ninasoma ukijibiwa:
"Waziri anasema hitaji la katiba mpya ni hitaji la watanzania.
Kwani mbinafsi wewe ni Mrundi?"
Sijayaona majibu yako mheshimiwa Mrundi tokea pande za pale Bujumbura.
Jibu hoja kule. Hatuhitaji warundi kwenye harakati zetu. Waziri kesha sema watanzania wanataka katiba Mpya. Sasa wasio watanzania tuna kazi nao gani ndugu?Urundi na Mimi wapi na wapi? Sipingi harakati zenu za Katiba Mpya ila mm siwezi kuwa ngazi maana has nothing to do with my life.
Boya weweJibu hoja kule. Hatuhitaji warundi kwenye harakati zetu. Waziri kesha sema wananchi wanataka katiba Mpya. Sasa wasio wananchi tuna kazi nao gani ndugu?
Boya ni Rundi!Boya wewe
Ila hizi vitu zinaratibiwa na kuongozwa. Tunapaswa kujihoji sawa sawa. Pana kitu hakipo sawa.Sisi mazezeta hatuwezj kufanya haya.
Acha tu viongozi watutende ndivyo sivyo.
Siyo matokeo yawe sawa na ya Senegal litakapokuja suala la kugeukwa!!Nawakumbusha tuu Rais wa Sasa alikuwa mpinzani kama Sokho ila anataka kubadili Katiba.
Hata huyo wanaemuandamania atawageuka baada ya Ikulu.
Kwa hiyo hata denooJ hujaamka...??Sijui tunahitaji mafunzo mangapi ya aina hii ili tuamke..
Inawezekana "tulishakufa" siku nyingi lakini sisi tunajiona bado tupo hai, kama tunashindwa kujifunza kwa majirani zetu hapo Kenya, hivi inawezekana kweli tukaenda kujifunza Senegal?
Naona hili letu ni taifa teule la wanakondoo.
Kuna vyama havikumpokeka Lowassa mbona havipo kama hivi!!??CHADEMA wasingempokea Lowasa Leo wangekuwa hivi
Kwa hiyo hata denooJ hujaamka...??
Ina maana wewe denooJ ulishakufa siku nyingi..??
Na wewe denooJ hujajifunza toka kwa majirani..??
====Umeelewa maana ya maswali yangu haya..??====
Nina maana kuwa, movement yoyote huanza na mtu mmoja. Huyo mtu anaweza kuwa wewe..!!
Usifikiri kuwa Kuna mtu atafanya Kwa ajili yako. Lianzishe tu mwanangu wewe halafu wengine tutakufuata nyuma...!!
Nyomi nimeiona, hiyo haikuwa na mashaka kabisa.Alisema baba wa taifa, "binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja."
Kwa hakika Afrika ni moja na waafrika ni baba mmoja mama mmoja.
Haikuwa tofauti kwa kinara wa upinzani Senegal Ousumane Sonko hadi nguvu ya umma ilipoamua kutoa hukumu yake ya haki:
View attachment 2566852
Ousumane Sonko sasa yuko huru baada ya vishindo vya wakoma kuwafurusha washami.
Hii ni kama kwetu tu:
"Katiba mpya ipo kwa wakati tunaoutaka Sisi na kwa namna tunayoitaka. Hii ni hata kama tukiamua iwe hivyo sasa."
Bila ya hivyo ngonjera zitakuwapo nyingi, mara kuhusu pesa, wakati magoli tunanunua na tunawasaidia hadi ulaya kwa pesa zetu wenyewe.
Akiziita JPM -- "pesa zetu za ndani!"
Nyomi nimeiona, hiyo haikuwa na mashaka kabisa.
Ila uli'assume' tu kwa uamzi wako mwenyewe kudhani kila mtu anajua kilichotokea huko.
Badala ya kueleza haya meeengi uliyoweka hapa, ungetumia muda huo, kutupatia nasi 'background' ya stori yako, nasi tungeungana nawe kuwasifu hawa wenzetu waliojitambua sana.
Huyo "Jamaa" wa Senegal, inaonekana na yeyey anataka kupitia kwenye njia zile zile za madikteta wengi hapa Afrika. Sall ni lazima adhibitiwe, na natumaini huu ndio mwanzo wa kufunga geledi nyani.
AiseeeeSijui tunahitaji mafunzo mangapi ya aina hii ili tuamke..
Inawezekana "tulishakufa" siku nyingi lakini sisi tunajiona bado tupo hai, kama tunashindwa kujifunza kwa majirani zetu hapo Kenya, hivi inawezekana kweli tukaenda kujifunza Senegal?
Naona hili letu ni taifa teule la wanakondoo.
I do not subscribe to such nonsensical talk! Has no logic whatsoever!Kama ilivyoelezwa au alivyonukuliwa Kenyatta, kama wakenya wamelala basi sisi ni marehemu.
Usikimbie ukweli. Una tendency ya kuuza maneno mengi saaana, kama inavyoonyesha hata kwenye andiko lako hapaa, lakini unakuta mengi ya hayo maneno ni mzunguko tu, hayazungumzii swala lilolengwa.Nini kisichoeleweka hapa? Nyomi imemuweka huru aliyekuwa mikononi mwa dola. Iwe kuwa kuna ambaye hakujua anafanya nini hiyo itakuwa inahusika vipi tena.