Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Hao vijana wa chadema ni wa kupuuza wapo katika kutetea ujinga kwa gharama yeyote.

Na wewe unatetea wabakaji na majambazi? Toka lini Rais akasamehe/kufuta kesi kwa Majambazi yanayotumia Silaha?

Kama mnataka kumtoa Jambazi Sabaya basi majambazi wengine wafutiwe kesi.
 
Tatizo linaanzia hapo kwenye kuingilia mahakamani, kama huko nyuma mahakama zilitumika kutotenda haki basi sasa hivi tulitegemea kutoona tena mahakama zikiingiliwa bali tungeona mahakama zikitenda haki huku zikiwa huru.
Mahakama zilishapiteza uwezo wake wa kutenda haki, hapo zilipo zinasubiri waliozipotezea uwezo wa kutenda haki ziwaagize waanze kutenda haki.
 
Huu sio upendo kama Lema amesahewa kwann sio Sabaya ubaguzi ni Dhabi kubwa Sawa .Amini nakuambia Rais wetu Mama Dr.Samia atamsamehe na Sabaya Mama ni mwenye hekima sana.

Wema hajasamehewa bali katendekewa haki maana hakuwa na makosa. Sabaya anahukumiwa kutokana na matendo yake ya kikatili.
 
President has overall power, hata mfungwa wa kunyongwa au kifungo cha maisha aweza mwachia, reference of Papii kocha's criminal justice.

Who are you to question
 
Mheshimini mwenyekiti wenu enyi CCM!
 
Katafute na nyingine lofa wew
Kijana wa hovyo kweli unatafuna ada kuna jambo la maana unaweza shauri mtu akakusikiliza??

Chama cha hovyo chenye vijana wa hovyo kama wewe.
 
Defensive mechanism

Kuna sababu kwa nini wamemfunga na kuna sababu kwa nini Mbowe aliwekwa ndani na kuachiwa baada ya hapo kuanza kusifia kila kitu, ghafla Samia ni kama Mungu kwake, kuna sababu kwa nini iko hivyo, …
 
Nimeona kuna shinikizo la kutaka Ole Sabaya naye afutiwe Kesi kama walivyofutiwa Mbowe, Lisu na Lema

Tunakumbushana tu kwamba Kesi ya Lengai Ole Sabaya Siyo ya Kisiasa

Barikiwa sana!
Mahakama ilimhukumu Sabaya ni Jambazi.

Asubiri Msamaha wa wafungwa.
 
Kuna sababu kwa nini wamemfunga na kuna sababu kwa nini Mbowe aliwekwa ndani na kuachiwa baada ya hapo kuanza kusifia kila kitu, ghafla Samia ni kama Mungu kwake, kuna sababu kwa nini iko hivyo, …
Wewe huoni kama dhana ya siasa za kibabe na ubaguzi zimepitwa na wakati?
Hilo analolifanya Mh. Rais linawachanganya wale wenye siasa zakizamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…