Mungo Park
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 2,115
- 1,834
Anayeipeleka Kesi Mahakamani ndiye mwenye mamlaka ya kuiondoa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katafute na nyingine lofa wew
Hao vijana wa chadema ni wa kupuuza wapo katika kutetea ujinga kwa gharama yeyote.
Mahakama zilishapiteza uwezo wake wa kutenda haki, hapo zilipo zinasubiri waliozipotezea uwezo wa kutenda haki ziwaagize waanze kutenda haki.Tatizo linaanzia hapo kwenye kuingilia mahakamani, kama huko nyuma mahakama zilitumika kutotenda haki basi sasa hivi tulitegemea kutoona tena mahakama zikiingiliwa bali tungeona mahakama zikitenda haki huku zikiwa huru.
Huu sio upendo kama Lema amesahewa kwann sio Sabaya ubaguzi ni Dhabi kubwa Sawa .Amini nakuambia Rais wetu Mama Dr.Samia atamsamehe na Sabaya Mama ni mwenye hekima sana.
Mheshimini mwenyekiti wenu enyi CCM!Hapa Naona kizunguzungu tu.
Rais akiwa Arusha anasema alizungumza na Lema na kumwambia kwamba asihofu arudi nyumbani atamfutia kesi zake.
Jambo hili linashangaza mno.
Mosi, Rais anapata wapi mamlaka ya kuingilia mhimili mwingine?
Haoni kwamba anavunja katiba hadharani?
Tunaposoma katiba tunaona kwamba Mahakama ni mamlaka inayojitegemea.
Yeye nguvu za kuingilia Mamlaka nyingine anazitoa wapi?
Ukiachana na hilo.
Lema ni mpinzani. Yeye ni Chama tawala.
Chukulia mfano wa mtoto na mtoto wa jirani.
Yaani inakuwaje mama anaacha wanawe wanalia njaa halafu anapeleka chakula kwa watoto wa jirani.
Huyu atakua mzazi wa aina gani?
Rais yupo tayari kufuta kesi ya Lema hata kwa kuvunja katiba lakini hayupo tayari kuvunja katiba kwa kufuta kesi ya Sabaya ambaye ni mwanachama wake.
Upendo wa mashaka huu. Au tuuiteje.
Maana Logically it doesn't make sense at all.
Amefanya jambo sahihi, kamtendea haki aliyeonewa, na kumuadhibu aliyekuwa akiendesha ukatili kwa backup ya Magufuli.Kwa kumfunga Sabaya.
Na kumfutia kesi Lema.
Wataachiwa kwanza wale alioshirikiana na Magufuli kuwabambikizia kesi.Kama hajatiwa hatiani hana kosa.
Aachiwe.
Defensive mechanismMwanaume real hafutuwi kesi, Mwanaume anashinda kesi hiyo ndiyo tofauti.
Sabaya will rise like a phoenix!
Kijana wa hovyo kweli unatafuna ada kuna jambo la maana unaweza shauri mtu akakusikiliza??Katafute na nyingine lofa wew
Defensive mechanism
Mbakaji, mwizi unamsamehe vipi?Nimeona kuna shinikizo la kutaka Ole Sabaya naye afutiwe Kesi kama walivyofutiwa Mbowe, Lisu na Lema
Tunakumbushana tu kwamba Kesi ya Lengai Ole Sabaya Siyo ya Kisiasa
Barikiwa sana!
Mahakama ilimhukumu Sabaya ni Jambazi.Nimeona kuna shinikizo la kutaka Ole Sabaya naye afutiwe Kesi kama walivyofutiwa Mbowe, Lisu na Lema
Tunakumbushana tu kwamba Kesi ya Lengai Ole Sabaya Siyo ya Kisiasa
Barikiwa sana!
Wewe huoni kama dhana ya siasa za kibabe na ubaguzi zimepitwa na wakati?Kuna sababu kwa nini wamemfunga na kuna sababu kwa nini Mbowe aliwekwa ndani na kuachiwa baada ya hapo kuanza kusifia kila kitu, ghafla Samia ni kama Mungu kwake, kuna sababu kwa nini iko hivyo, …
We ni mpumbavu bichwa lako limejaa mavi. Wale walikuwa wafungwa waliachiwa kwa mujibu wa katiba sio kufutiwa makosa.Yule msukule wenu alimtoa Babu Seya Kwa Sheria gani vile?