Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Hbr yako mlinda legacy, kwanza kbs ili jukwaa hili liweze kujib hoja zako ni vzr uainishe makosa yao ili tujue makosa ya kisiasa jinai na wizi wa kutumia silaha!!
 
Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.

Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa

Hii ni kinyume na katiba.
👇



Kwanza ninaunga mkono mama kufuta kesi za Lema.

Pia kesi zote za mchongo zifutwe.

Lakini huu ni mtego wa kisiasa hasa ndani ya CCM ambapo mchwa watawatafuna chawa wazima wazima.


Kinachotakiwa ni kupitia tume ya HakiJinai ifanye yake na kupeleka ripoti ambayo mama atakaa na Jaji Mkuu kuweza kufanya yao kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.


Taasisi yake inalenga kumshauri lakini si kumshauri vyema
 
Hivi kwel walinda legacy mmesimama kidete kbs kutetea mhalifu na unyang'anyi wa kutumia silaha? Kisa alikua mpendwa wa kiongoz? Hii inaonyesha kbs mlikua mnafurahia sana maovu kipind kile!!!
 
sabaya alikuwa jambazi,mwizi na mnyang'anyi hakuwa na maadili mema.
 
sabaya alikuwa jambazi,mwizi na mnyang'anyi hakuwa na maadili mema.akifutiwa kesi huyo basi mama atakuwa anabariki ujambazi ndani ya nchi hii.
 
Mama Anajua Lema alisingiziwa
Mama Anajua Sabaya aliyoyatenda alistahili kwenda kula moto wa milele na Jiwe na sio kutumalizia ugali wa bure Gerezani.
 
Nimeona kuna shinikizo la kutaka Ole Sabaya naye afutiwe Kesi kama walivyofutiwa Mbowe, Lisu na Lema

Tunakumbushana tu kwamba Kesi ya Lengai Ole Sabaya Siyo ya Kisiasa

Barikiwa sana!
Case ya Sabaya ni ya kiasiasa kabisa kuanzia kila kitu hadi ushahidi ni case ya kisiasa ambayo imeratibiwa na Rais Samia mwenyewe ….huu ni ukweli uliowazi hii ni case ya Samia kuwaridhisha Chadema na Mbowe hivyo ni case ya kisiasa kabisa!
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…