Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Hapa Naona kizunguzungu tu.

Rais akiwa Arusha anasema alizungumza na Lema na kumwambia kwamba asihofu arudi nyumbani atamfutia kesi zake.

Jambo hili linashangaza mno.

Mosi, Rais anapata wapi mamlaka ya kuingilia mhimili mwingine?

Haoni kwamba anavunja katiba hadharani?

Tunaposoma katiba tunaona kwamba Mahakama ni mamlaka inayojitegemea.

Yeye nguvu za kuingilia Mamlaka nyingine anazitoa wapi?

Ukiachana na hilo.

Lema ni mpinzani. Yeye ni Chama tawala.

Chukulia mfano wa mtoto na mtoto wa jirani.

Yaani inakuwaje mama anaacha wanawe wanalia njaa halafu anapeleka chakula kwa watoto wa jirani.

Huyu atakua mzazi wa aina gani?

Rais yupo tayari kufuta kesi ya Lema hata kwa kuvunja katiba lakini hayupo tayari kuvunja katiba kwa kufuta kesi ya Sabaya ambaye ni mwanachama wake.

Upendo wa mashaka huu. Au tuuiteje.

Maana Logically it doesn't make sense at all.
Hbr yako mlinda legacy, kwanza kbs ili jukwaa hili liweze kujib hoja zako ni vzr uainishe makosa yao ili tujue makosa ya kisiasa jinai na wizi wa kutumia silaha!!
 
Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.

Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa

Hii ni kinyume na katiba.
👇

FqdD3UbWIAMYsUH
Kwanza ninaunga mkono mama kufuta kesi za Lema.

Pia kesi zote za mchongo zifutwe.

Lakini huu ni mtego wa kisiasa hasa ndani ya CCM ambapo mchwa watawatafuna chawa wazima wazima.

Kinachotakiwa ni kupitia tume ya HakiJinai ifanye yake na kupeleka ripoti ambayo mama atakaa na Jaji Mkuu kuweza kufanya yao kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.

Taasisi yake inalenga kumshauri lakini si kumshauri vyema
 
Dhamira ya Rais sio ya dhati .

Anawatumia tu Chadema kwa manufaa ya kisiasa.

Wenye makosa ndio wanapaswa musamehewa ili msamaha uhesabike.

Kwakua Lema hana kosa basi hajafanya lolote kumsamehe maana tayari hana kosa.

Anayepaswa hapa kusamehewa ni sabaya maana ndiye mkosaji.

Hakuna faida yeyote kumsamehe asiye na kosa.

Ila mtu anapata thawabu kwa kumsamehe mkosaji.

Hapa kama kawaida CHADEMA mnatumika.
Hivi kwel walinda legacy mmesimama kidete kbs kutetea mhalifu na unyang'anyi wa kutumia silaha? Kisa alikua mpendwa wa kiongoz? Hii inaonyesha kbs mlikua mnafurahia sana maovu kipind kile!!!
 
Hapa Naona kizunguzungu tu.

Rais akiwa Arusha anasema alizungumza na Lema na kumwambia kwamba asihofu arudi nyumbani atamfutia kesi zake.

Jambo hili linashangaza mno.

Mosi, Rais anapata wapi mamlaka ya kuingilia mhimili mwingine?

Haoni kwamba anavunja katiba hadharani?

Tunaposoma katiba tunaona kwamba Mahakama ni mamlaka inayojitegemea.

Yeye nguvu za kuingilia Mamlaka nyingine anazitoa wapi?

Ukiachana na hilo.

Lema ni mpinzani. Yeye ni Chama tawala.

Chukulia mfano wa mtoto na mtoto wa jirani.

Yaani inakuwaje mama anaacha wanawe wanalia njaa halafu anapeleka chakula kwa watoto wa jirani.

Huyu atakua mzazi wa aina gani?

Rais yupo tayari kufuta kesi ya Lema hata kwa kuvunja katiba lakini hayupo tayari kuvunja katiba kwa kufuta kesi ya Sabaya ambaye ni mwanachama wake.

Upendo wa mashaka huu. Au tuuiteje.

Maana Logically it doesn't make sense at all.
sabaya alikuwa jambazi,mwizi na mnyang'anyi hakuwa na maadili mema.
 
sabaya alikuwa jambazi,mwizi na mnyang'anyi hakuwa na maadili mema.akifutiwa kesi huyo basi mama atakuwa anabariki ujambazi ndani ya nchi hii.
 
Hapa Naona kizunguzungu tu.

Rais akiwa Arusha anasema alizungumza na Lema na kumwambia kwamba asihofu arudi nyumbani atamfutia kesi zake.

Jambo hili linashangaza mno.

Mosi, Rais anapata wapi mamlaka ya kuingilia mhimili mwingine?

Haoni kwamba anavunja katiba hadharani?

Tunaposoma katiba tunaona kwamba Mahakama ni mamlaka inayojitegemea.

Yeye nguvu za kuingilia Mamlaka nyingine anazitoa wapi?

Ukiachana na hilo.

Lema ni mpinzani. Yeye ni Chama tawala.

Chukulia mfano wa mtoto na mtoto wa jirani.

Yaani inakuwaje mama anaacha wanawe wanalia njaa halafu anapeleka chakula kwa watoto wa jirani.

Huyu atakua mzazi wa aina gani?

Rais yupo tayari kufuta kesi ya Lema hata kwa kuvunja katiba lakini hayupo tayari kuvunja katiba kwa kufuta kesi ya Sabaya ambaye ni mwanachama wake.

Upendo wa mashaka huu. Au tuuiteje.

Maana Logically it doesn't make sense at all.
Mama Anajua Lema alisingiziwa
Mama Anajua Sabaya aliyoyatenda alistahili kwenda kula moto wa milele na Jiwe na sio kutumalizia ugali wa bure Gerezani.
 
Nimeona kuna shinikizo la kutaka Ole Sabaya naye afutiwe Kesi kama walivyofutiwa Mbowe, Lisu na Lema

Tunakumbushana tu kwamba Kesi ya Lengai Ole Sabaya Siyo ya Kisiasa

Barikiwa sana!
Case ya Sabaya ni ya kiasiasa kabisa kuanzia kila kitu hadi ushahidi ni case ya kisiasa ambayo imeratibiwa na Rais Samia mwenyewe ….huu ni ukweli uliowazi hii ni case ya Samia kuwaridhisha Chadema na Mbowe hivyo ni case ya kisiasa kabisa!
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Ameanza kulewa madaraka mapema. Wahuni kama lema anaona wako sahihi. Mtu anaropoka ovyo. Kiitikadi na ccm ni mota na maji. Jitu libinafsi eti mama anamfutia kesi. Sijui hata anajua kesi zinahusu nini. Huwezi kua kiongozi shwari tu na wapinga maendeleo unawafutia kesi huku kijana sabaya aliyepambania sera za ccm kujali wanyonge kupata haki na kupingana na fisadi na wakwepa kodi unajidai humuoni. Adui zake wanamsulubisha kwa ushirika na serikali unayoiongoza.
 
Waliofutiwa kesi ni kwa sababu zilikua za kisiasa na kisasi, za kubambikiwa. Ni tofauti na kesi za unyang'anyi na kupora.
Kesi ikashafika mahakamani, ni utaratibu upi sahihi wa kuifuta? Hii inaweza kuwa ni haki ya msingi ambayo wengi hatuijui, tufundishwe.

Maana tunasikia tu, raisi, kafuta kesi, mara DPP hana nia ya kuendelea na kesi.....
 
Back
Top Bottom