Na hizo za ruzuku ni halali ya chadema watazibeba ili uumie zaidi😂Kosa langu nini kamanda? Kuhoji mil 898 za ruzuku?
Kwani DPP anateuliwa na Nañi? Inabidi ujishangae mwenyewe.Yaani nilishangaa kwa kweli,ila ndo katiba yetu. Rais yupo juu ya kila kitu.
Maggu was a evilSi tulikubaliana kuwa huyu ni tofauti na Magu?
Rais yupo juu ya katiba, Wewe ni kichaa ndio maana hulijui hili.Rais hayupo juu ya katiba.
Serikali haijawahi kuingilia Mahakama sema wewe hujui SHERIA.
Kweli wewe popoma, wakati yule chizi wenu anawaambia wakurugenzi nikuteuwe Mimi halafu umtangaze mpinzani kashinda akili zenu mlifungia kabatini?"Mwenzao Mmoja aliniambia Mama nataka Kurudi Tanzania nikamwambia rudi akasema ila amefunguliwa Kesi nyingi nikamjibu rudi nimeshazifuta zote" amesema Rais Samia alipokuwa akizungumza kwa muda mfupi na Wakazi wa Arusha alipokuwa akitoka katika Semina ya Siku Nne ya Viongozi wa Serikali Mkoani Arusha.
Chanzo Taarifa: Nipashe ya Radio One leo
Leo GENTAMYCINE nimefurahi Kusikia na Kujua kuwa kumbe Rais wa Tanzania ana Mamlaka yote ya Kumfutia Kesi Mtanzania yoyote yule akijisikia kufanya hivyo.
Kazi Kweli Kweli.....!!!!!
DPP anateuliwa na Nañi?Serikali haijawahi kuingilia Mahakama sema wewe hujui SHERIA.
Naunga mkono hoja." Mwenzao Mmoja aliniambia Mama nataka Kurudi Tanzania nikamwambia rudi akasema ila amefunguliwa Kesi nyingi nikamjibu rudi nimeshazifuta zote" amesema Rais Samia alipokuwa akizungumza kwa muda mfupi na Wakazi wa Arusha alipokuwa akitoka katika Semina ya Siku Nne ya Viongozi wa Serikali Mkoani Arusha.
Nami GENTAMYCINE nasema kama Sabaya labda alimkosea Mtanzania yoyote au Kiongozi yoyote yule Tanzania hivyo nae sasa Anakomolewa basi Asamehewe tu ili Maisha yaendelee.
Kazi Kweli Kweli hakyanani.....!!!!!!
Kupambana na Mbowe kule hai mpaka kumzuia kushinda uchaguzi.Sabaya alifanya kazi gani kwa CCM??
Unachotaka kusema kuwa ni Lissu na Lema nao walikuwa wahalifu kama yule dogo janja jinga? Tangu lini mtu mzuri mwenye akili timamu na umefunzwa na wazazi wako vizuri pembezoni mwa bahari na ukaenda kupewa geto zuri pale stand ya wauza simu fake ukawa unaropoka ovyo kama sio uhayawani? Wacha apate alichokuwa anakitafuta." Mwenzao Mmoja aliniambia Mama nataka Kurudi Tanzania nikamwambia rudi akasema ila amefunguliwa Kesi nyingi nikamjibu rudi nimeshazifuta zote" amesema Rais Samia alipokuwa akizungumza kwa muda mfupi na Wakazi wa Arusha alipokuwa akitoka katika Semina ya Siku Nne ya Viongozi wa Serikali Mkoani Arusha.
Nami GENTAMYCINE nasema kama Sabaya labda alimkosea Mtanzania yoyote au Kiongozi yoyote yule Tanzania hivyo nae sasa Anakomolewa basi Asamehewe tu ili Maisha yaendelee.
Kazi Kweli Kweli hakyanani.....!!!!!!
Sabaya ni jambazi acha afie jela dada" Mwenzao Mmoja aliniambia Mama nataka Kurudi Tanzania nikamwambia rudi akasema ila amefunguliwa Kesi nyingi nikamjibu rudi nimeshazifuta zote" amesema Rais Samia alipokuwa akizungumza kwa muda mfupi na Wakazi wa Arusha alipokuwa akitoka katika Semina ya Siku Nne ya Viongozi wa Serikali Mkoani Arusha.
Nami GENTAMYCINE nasema kama Sabaya labda alimkosea Mtanzania yoyote au Kiongozi yoyote yule Tanzania hivyo nae sasa Anakomolewa basi Asamehewe tu ili Maisha yaendelee.
Kazi Kweli Kweli hakyanani.....!!!!!!
Kwani mlalamikaji akisema hana mpango wa kuendelea na shauri ni kuiingilia mahakama?Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇