Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

Ni kama mshua tu ndani ya nyumba anaweza amua chochote bila bila ata ya kusubiri mawazo ya kikao cha familia (head of state/ head of family).

Dada/kaka, mama (mahakama, bunge,) wamepewa mamlaka tu lakini mwenye neno la mwisho ni baba (head of family/state) ndio maana hashtakiwi ata akitaka kuja kukuua wewe hapo ulipo.
 
Tanzania watu watafata sheria siku waliopo wote wakifa
 
Tumaini la Lengai halikuwa kwa Mungu bali kwa mwanadamu.

Lengai alijaa majivuno na asijue siku za mwanadamu ni za kuhesabu tu, ushauri wangu awaombe msamaha wote aliowatesa hata kwa kutuma mtu wa tatu itamsaidia sana, baada ya hapo amuombe Mungu tu.
 
.....kwa mantiki hiyo miungu watu ni wale waziba mirija tu???
Kha!
 
"Mwenzao Mmoja aliniambia Mama nataka Kurudi Tanzania nikamwambia rudi akasema ila amefunguliwa Kesi nyingi nikamjibu rudi nimeshazifuta zote" amesema Rais Samia alipokuwa akizungumza kwa muda mfupi na Wakazi wa Arusha alipokuwa akitoka katika Semina ya Siku Nne ya Viongozi wa Serikali Mkoani Arusha.

Chanzo Taarifa: Nipashe ya Radio One leo

Leo GENTAMYCINE nimefurahi Kusikia na Kujua kuwa kumbe Rais wa Tanzania ana Mamlaka yote ya Kumfutia Kesi Mtanzania yoyote yule akijisikia kufanya hivyo.

Kazi Kweli Kweli.....!!!!!
Kweli wewe popoma, wakati yule chizi wenu anawaambia wakurugenzi nikuteuwe Mimi halafu umtangaze mpinzani kashinda akili zenu mlifungia kabatini?

DPP anateuliwa na Rais, na DPP ndio mwenye mamlaka ya kufuta kesi mahakamani, kwahiyo DPP anaweza kutumia mamlaka yake kufuta kesi yoyote kwa maelekezo ya Rais kwa maslahi ya Taifa.

Chuki zenu na udini kwa huyu mama zimewatowa ufahamu.
 
" Mwenzao Mmoja aliniambia Mama nataka Kurudi Tanzania nikamwambia rudi akasema ila amefunguliwa Kesi nyingi nikamjibu rudi nimeshazifuta zote" amesema Rais Samia alipokuwa akizungumza kwa muda mfupi na Wakazi wa Arusha alipokuwa akitoka katika Semina ya Siku Nne ya Viongozi wa Serikali Mkoani Arusha.

Nami GENTAMYCINE nasema kama Sabaya labda alimkosea Mtanzania yoyote au Kiongozi yoyote yule Tanzania hivyo nae sasa Anakomolewa basi Asamehewe tu ili Maisha yaendelee.

Kazi Kweli Kweli hakyanani.....!!!!!!
Naunga mkono hoja.

Sent from my SM-A530N using JamiiForums mobile app
 
" Mwenzao Mmoja aliniambia Mama nataka Kurudi Tanzania nikamwambia rudi akasema ila amefunguliwa Kesi nyingi nikamjibu rudi nimeshazifuta zote" amesema Rais Samia alipokuwa akizungumza kwa muda mfupi na Wakazi wa Arusha alipokuwa akitoka katika Semina ya Siku Nne ya Viongozi wa Serikali Mkoani Arusha.

Nami GENTAMYCINE nasema kama Sabaya labda alimkosea Mtanzania yoyote au Kiongozi yoyote yule Tanzania hivyo nae sasa Anakomolewa basi Asamehewe tu ili Maisha yaendelee.

Kazi Kweli Kweli hakyanani.....!!!!!!
Unachotaka kusema kuwa ni Lissu na Lema nao walikuwa wahalifu kama yule dogo janja jinga? Tangu lini mtu mzuri mwenye akili timamu na umefunzwa na wazazi wako vizuri pembezoni mwa bahari na ukaenda kupewa geto zuri pale stand ya wauza simu fake ukawa unaropoka ovyo kama sio uhayawani? Wacha apate alichokuwa anakitafuta.

Karibu supu hapa Karibu na kwa Mwingira nakunywa supu niende kuangalia mabasi stand
 
" Mwenzao Mmoja aliniambia Mama nataka Kurudi Tanzania nikamwambia rudi akasema ila amefunguliwa Kesi nyingi nikamjibu rudi nimeshazifuta zote" amesema Rais Samia alipokuwa akizungumza kwa muda mfupi na Wakazi wa Arusha alipokuwa akitoka katika Semina ya Siku Nne ya Viongozi wa Serikali Mkoani Arusha.

Nami GENTAMYCINE nasema kama Sabaya labda alimkosea Mtanzania yoyote au Kiongozi yoyote yule Tanzania hivyo nae sasa Anakomolewa basi Asamehewe tu ili Maisha yaendelee.

Kazi Kweli Kweli hakyanani.....!!!!!!
Sabaya ni jambazi acha afie jela dada
 
Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.

Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa

Hii ni kinyume na katiba.
👇

FqdD3UbWIAMYsUH
Kwani mlalamikaji akisema hana mpango wa kuendelea na shauri ni kuiingilia mahakama?
Kwanza ndio amepunguza gharama za kuendesha kesi. Apewe hongera
 
Back
Top Bottom