Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
-
- #141
We mpumbavu nini? Yaani mtu anafanya kosa alafu anapandishwa mahakamani alafu unamfutia kosa. Acha mahakama imuhukumu kwa uhulu wake.Kwani mlalamikaji akisema hana mpango wa kuendelea na shauri ni kuiingilia mahakama?
Kwanza ndio amepunguza gharama za kuendesha kesi. Apewe hongera
pot acha wehu mura" Mwenzao Mmoja aliniambia Mama nataka Kurudi Tanzania nikamwambia rudi akasema ila amefunguliwa Kesi nyingi nikamjibu rudi nimeshazifuta zote" amesema Rais Samia alipokuwa akizungumza kwa muda mfupi na Wakazi wa Arusha alipokuwa akitoka katika Semina ya Siku Nne ya Viongozi wa Serikali Mkoani Arusha.
Nami GENTAMYCINE nasema kama Sabaya labda alimkosea Mtanzania yoyote au Kiongozi yoyote yule Tanzania hivyo nae sasa Anakomolewa basi Asamehewe tu ili Maisha yaendelee.
Kazi Kweli Kweli hakyanani.....!!!!!!
Kwanza acha kupaniki mkuu acha matusiWe mpumbavu nini? Yaani mtu anafanya kosa alafu anapandishwa mahakamani alafu unamfutia kosa. Acha mahakama imuhukumu kwa uhulu wake.
Nimelipenda sana hili swaliHii nchi hivi kuna watu kweli humu ndani?
Sasa matusi ya nini kamanda. Si ni nyie mlikuwa mnasema katiba kwa sasa isubiri wakati mama anainyoosha nchi? Kaa kwa kutulia kamanda uchwaraPumbavu mbwa wewe nani alisema?
Mahakama ndio chombo cha kujua ushahidi upi utamtia mtu hatiani. Mpaka DPP anasoma chaji mahakamani, ujue kuwa ameona ushahidi upo.Kwanza acha kupaniki mkuu acha matusi
Nakuambia serikali ndio imelalamika na ndio imefuta kesi tatizo ni nini?
Unafikiri DPP akifuta kesi nikwaridhaa yake au ameshauriana na mamlaka?
Kwani kama wakiona hakunatija kuendelea na hiyo kesi kwanini isifutwe?
Kwani kesi hiyo ndio yakwanza kufutwa. Au kisa amefutiwa mtu usiempenda?
Kila mwaka wafungwa hufutiwa vifungo na wapo waliofutiwa makosa na Magufuli na sasa wako madarakani, mtu mkakatili haachi asili yake.Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇
Yaani nilishangaa kwa kweli,ila ndo katiba yetu. Rais yupo juu ya kila kitu.
Kilichoingiliwa hapo ni mahakama au legacy? Tunajua kilichowauma MATAGA ni ile statement ya Rai's SSH kuwa "mwanaume ni yule anayejiamini". Moja kwa moja Mwendazake aliguswa. Wacheni povu, tulieni. Au nasema uwongo ndugu zangu?Shida huyu mama huwa hajui madhara ya anayoongea hadharani. Anadhani anajenga leo kumbe anaharibu kesho. Kwamba ana uwezo wa kumtengenezea mtu kesi kama alivyofanya kwa Sabaya na kumfutia anayetaka kama alivyofanya kwa lema na mbowe.
Kipindi fulani alikuwa anajikanyaga BBC mpaka washauri wake wakamzuia kuhojiwa na vyombo vya habari.
Pengine huwa hajui anaongea nini? Yupo yupo tu. Hajui Donts na Dos za nafasi nyeti kama hiyo.
Sukuma Gang mwaka wenu huu lazima mtokwe bawasiri kwa ajili sonona.Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
[emoji116]
Sukuma Gang lazima mpate kifafa cha mimba mwaka huu kudadadeqShida huyu mama huwa hajui madhara ya anayoongea hadharani. Anadhani anajenga leo kumbe anaharibu kesho. Kwamba ana uwezo wa kumtengenezea mtu kesi kama alivyofanya kwa Sabaya na kumfutia anayetaka kama alivyofanya kwa lema na mbowe.
Kipindi fulani alikuwa anajikanyaga BBC mpaka washauri wake wakamzuia kuhojiwa na vyombo vya habari.
Pengine huwa hajui anaongea nini? Yupo yupo tu. Hajui Donts na Dos za nafasi nyeti kama hiyo.
Nenda Chato kwenye kaburi la mungu wenu ukashitaki.Kosa langu nini kamanda? Kuhoji mil 898 za ruzuku?
kwamba habambikii watu kesi na kupora mali za watu kama mtanguliziShida huyu mama huwa hajui madhara ya anayoongea hadharani. Anadhani anajenga leo kumbe anaharibu kesho. Kwamba ana uwezo wa kumtengenezea mtu kesi kama alivyofanya kwa Sabaya na kumfutia anayetaka kama alivyofanya kwa lema na mbowe.
Kipindi fulani alikuwa anajikanyaga BBC mpaka washauri wake wakamzuia kuhojiwa na vyombo vya habari.
Pengine huwa hajui anaongea nini? Yupo yupo tu. Hajui Donts na Dos za nafasi nyeti kama hiyo.
We mbumbumbu acha zako. Ulisikia rais gani akisema hadharani kuwa alimfutia mharifu kosaIt has been this way since nyerere days, different ni kwamba kila mtu alikuwa anatumis hizi nguvu kwa style yake
Ujerumani imeuongozwa na Mwanamke kwa miaka 14. Na uchumi wake ni zaidi ya Afrika nzima.Huyu Mama nadhani amaeonyesha dhaili nguvu ya wanawake ikoje,Vitabu vitakatifu vyote na huko kwenye nchi za waarabu mwanamke hawezi kupata Nafasi ya kuongoza kamwe wala Mamraka yoyote kitaifa,Ni wa nyumbani tu kupika na kupakua,Ata hapo jirani zanzbar mwanamke sokoni haendi,Tanzania imekuwa mfano hai wa hili,Tunapigo kubwa sana.
Walishaongoza wanaume wenye akili yeye kaja kuwekwa tu hapo ili waitangazie dunia kwamba inawezeka na huyo mama ni mzungu kumbuka....huku tumeshalamba gharasha mzee baba mchele kwetu umefika 4000 kilo moja yeye anajiandaa kuhudhulia tu sherehe za wanawake duniani ila hajui mateso wanayopata wanawake wenzie!!!.Ujerumani imeuongozwa na Mwanamke kwa miaka 14. Na uchumi wake ni zaidi ya Afrika nzima.
Huna akili