Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
- #141
We mpumbavu nini? Yaani mtu anafanya kosa alafu anapandishwa mahakamani alafu unamfutia kosa. Acha mahakama imuhukumu kwa uhulu wake.Kwani mlalamikaji akisema hana mpango wa kuendelea na shauri ni kuiingilia mahakama?
Kwanza ndio amepunguza gharama za kuendesha kesi. Apewe hongera